Naombeni kueleweshwa, nilitembelea ebay ili kufanya manunuzi kwa mara ya kwanza (factory unlocked)

Hechinodemata

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
1,483
3,326
Katika kutembelea website ya ebay nikaipenda simu APPLE iphone 4s-16GB Verion ( Factory Unlocked) smart phone. This device is 100% fully functional having passed our industry leading inspection. The device will The device will show moderate to heavy signs of use such as scratches, scuffs & nicks on the housing and screen.
MOJA kwa nini factory unlocked mana nyingine hazijaandikwa hivyo
PILI je haiwezi kuja kusumbua kwa mitandao yetu ya Tanzania kwa maana ya internate na line, sijali scratch naombeni wenye uzoefu wa mambo haya wanijuzewanijuze, NAOMBENI KUJUA MATATIZO YA HIZI SIMU ZIKIJA NCHINI KWETU
simu hii inauzwa dola 105 (wastan 250,000), kumbukeni na mimi nina ndoto ya kumiliki IPHONE

Nimeatach kapicha
s-l1600.jpg
 
hakuna kitu kama hicho.

simu haiwezi kuwa Verizon phone halafu ikawa Factory unlocked.

na pia, iphone 4S, 16GB, used, kwa dola 105 kwa ebay ni ajabu, too much money.

Hebu weka link ya hilo tangazo kama lipo.
 
hakuna kitu kama hicho.

simu haiwezi kuwa Verizon phone halafu ikawa Factory unlocked.

na pia, iphone 4S 6GB used kwa dola 105 kwa ebay ni ajabu, too much money.

Hebu wela link ya hilo tangazo kama lipo.
naona kama hujanisaidia, badala yake umenipinga, mii nilichotaka ni msaada
 
Factory unlocked,ina maanisha hiyo simu itafanya kazi kwenye mtandao wowote.
Soma maelezo vizuri ya uyo muuzaji au unaweza kumuuliza uyo muuzaji vizuri.

Kwanini ununue hiyo simu kwa dola 105? Ongeza kidogo upate iphone 5 au 5c kuliko kutoa pesa yote hiyo kwa iPhone 4s.
 
Duuh mi nilinunua yangu kutoka china, aiseee, majanga! Ilikuja simu nzuri na kila kitu chake. Nilivoweka simkadi ikasoma vizuri tu. Sms zinaingia na kupiga unapiga! Shughuli ikaja ukitaka kupiga USSD codes ( nampa zinazoanza na nyota na kuishia na hash au wengine wanaita reli)! Baadala ya kurequest ikawa inacall kama unavopiga kawaida! That means nikawa siwezi kuangalia salio, kuweka salio, kununua kwa mpessa n.k. Mwisho wa siku nilikuja nikampa mtu ajaribu kuhangaika nayo kwa mafundi, naye hakufanikiwa.
Hiyo ni uzoefu wanguu. Mi nashauri usinunue China, nunua USA ukimpata anayeship Tz.
 
hakuna kitu kama hicho.

simu haiwezi kuwa Verizon phone halafu ikawa Factory unlocked.

na pia, iphone 4S, 16GB, used, kwa dola 105 kwa ebay ni ajabu, too much money.

Hebu weka link ya hilo tangazo kama lipo.
Hapo itakuwa version siyo verizone
 
Factory unlocked,ina maanisha hiyo simu itafanya kazi kwenye mtandao wowote.
Soma maelezo vizuri ya uyo muuzaji au unaweza kumuuliza uyo muuzaji vizuri.

Kwanini ununue hiyo simu kwa dola 105? Ongeza kidogo upate iphone 5 au 5c kuliko kutoa pesa yote hiyo kwa iPhone 4s.
Kweli kabisa
 
nashukuru kwa kunitoa tongotongo, sikujua factory unlocked maana yake nini
 
Back
Top Bottom