Unlocking Nokia lumia

farujoni

Senior Member
Dec 19, 2016
189
246
Jamani msaada nna simu yangu imetoka ulaya sema haiingii sim card za tanzania na inataka unlock codes ambayo nimejaribu kugoogle wanaziuza usd 30 msaada jamani kama kuna njia nyingine mnisaidie
Nokia lumia 635
 
nadhani most windows phone zinatoka kwa kununua unlock codes asee.. cjawahi kutana na namna yeyote ya unlock.. ila nadhani thru infinity unaweza unlock kwa kutumia server credits
 
nadhani most windows phone zinatoka kwa kununua unlock codes asee.. cjawahi kutana na namna yeyote ya unlock.. ila nadhani thru infinity unaweza unlock kwa kutumia server credits
Infinity ndo nn???
Na server credit ndo7nn?? Mkuu
 
Infinity ndo nn???
Na server credit ndo7nn?? Mkuu
hakuna namna ya ku unlock simlock ya hyo cmu yako kwa bure, option ni kununua unlock code online au uwapelekee mafundi ambapo itakugharimu kama elf80 na kuendelea
 
Back
Top Bottom