Niliahidi kutoa mifano ya fursa ambazo Rafiki zangu Developers wanaweza tumia nakuleta impact kwa jamii nahata duniani kiujumla. Fuatilia my previous thread
Nilieleza hits muhimu zakujua fursa
1. Solving problem
Hapa nikuangalia matatizo ya jamii nakujatatua pia katika njia hii unaweza angalia pia weekness za product zilizopo sokoni nakuja na best version
2. Creating demand
Katika njia hii unatengeneza product itakayowalazimu watu kuitumia kutokana na status zao, dini, rangi , lugha nakadhalika
3. Local monopoly
Hapa nikufanya transformation ya product iliyopo soko la nje nakuileta katika mazingira ya nyumbani
MIFANO YA PROJECT AMBAZO MNAWEZA FANYA NAKUWA KIOO KWA TAIFA NAPIA MKAPATA KIPATO KIKUBWA
Leo nitaeleze fursa moja katika political aspect.
Tutatumia njia tatu ili product ifanikiwe. First creating demand, solving problem na Tatu creating Local monopoly
HATUA YA KWANZA
Part1. Tafakari juu yawazo
Tanzania kuna upepo mkubwa wasiasa wanachi wanafuatilia kwa ukaribu mienendo ya viungozi wao, napia viongozi wanapenda kua karibu na wanachi kwani ndio wenye nguvu yakuwachagua au kutowachagua. Napia wananchi wanapenda kujua official statements Kutoka kwa viongozi nasio uvumi.
Kiongozi hususani mbunge nimuwakilishi wamwananchi so anapaswa kujua matatizo ya jimbo lake , kupata maoni, nakutoa Taarifa yeyote kwa wananchi wake ( kueleza jambo , kukanusha jambo au kuuliza).
Part2. Simple research & Questions to ask yourself as Developer
1. Njia ambazo viongozi hawa wanatumia kuwasiliana na wanachi
i. Kuita waandishi wahabari watakao sambaza taarifa zao ( Which is Time wasting and cost way )
ii. Kutumia Social media ( hususani twitter –sio lengo la twitter na ni brief words pekee so it limit expressions and language barrier problem )
iii. Kuwatembelea majimboni ( cost and time barrier )
iv. Kutembelewa ofisini ( wananchi wengi wanaogopa face to face na ni time consuming)
Ukitazama njia hizo ni nzuri lakini hazina ukaribu mkubwa wakuwakutanisha wanachi wengi na kiongozi wao na nyingi ni manual way na digital way zilizopo sio legwa kwa kazi hii ( twiter inamsaidiaje mwananchi asiejua Kiswahili na is all about brief report )
Natambua uwepo wa E-government , Chama cha mapinduzi App na App zingine ila sio effective way yakumkutanisha Mbunge na mwananchi wake product hizo nimahususi kwa taasisi za kiserikali na hazitoi uwanja mkubwa wakujieleza.
ACTION
Kama developers watanzania mnaweza tumia mikono yenu kuleta wananchi na wawakilishi wao (Wabunge) karibu zaidi.
So tunaweza ita product yetu MBUNGE-TANZANIA
Mbunge - Tanzania product ili iweze kufika anga zakimataifa inaweza kupanuka nakutengeneza versions nyingi nakufanya local monopoly kwa nchi hizo kutokana na lugha ya nchi . mfano MPs- kenya, MPs-Uganda, MPs-Rwanda na nchi nyingi kadri muwezavyo ili kuongeza mapato ila base developers wanatoka Tanzania.
Nitatumia marketing mix tools kuelezea kibiashara zaidi na nitagusa Technical issues kidogo
Marketing Mix tools
· Product
· Price
· Promotion
· Placement
1. Product
Product yetu inalengo kuu moja ambalo nikuwakutanisha karibu wabunge na wananchi wao. Pia ni product isiyomfunga mwanachi kupata taarifa au kuwasiliana na wabunge wa majimbo mengine,
Mbunge anaweza fanya yafuatayo katika huduma hii
1. Kutoa taarifa (kupost) kwa wananchi wake au kwa Uma ( Jimbo au public post so atachagua analenga wapi). So post yajimbo itaonekana kwa watu wanaofuatilia jimbo hilo ila post yauma itaonekana kwa watu wote .
2. Mbunge anaweza kuhamasisha jambo au Kupokea michango yoyote kutoka kwa wananchi. Hapa nazungumzia maswali, ushauri au taarifa. So mwanachi anapaswa chagua aina ya habari anayotuma (Category ) for best user experience ili kuboresha ufuatiliaji. Habari zote na majibu yatakuwa wazi kila mtu kuona.
3. Mbunge anaweza piah unganisha wasaidizi wake kumsaidia pindi hayupo online au akiwa na majukumu.
Mwanachi anaweza fanya yafuatayo
1. Kuuliza swali, kutoa maoni na kutoa taarifa kwa mbunge au wasaidizi wake.
2. Kusoma majibu yamaswali, nakuweka comment piah. ( silengi forum ni product yakipekee kidogo)
3. Mwananchi anaweza mfuatilia mbunge Zaidi ya mmoja nakupata habari au kuuliza.
4. Mwananchi anaweza ona posts zinazolenga umma kuijumla ( Public posts) kutoka kwa wabunge mbalimbali
Branding- hapa jina la product linatakiwa akisi lengo na dhumuni la huduma husika (MBUNGE-Tanzani)
Design – Product inahitaji good User interface for better experience
2. Placement
Nidhahiri watu wengi wanatumia simu za Android Operating system so nadhani first version iwe Android naipatikane playstore . Developer anaweza pia tengeneza hybrid App ili kuwapata watu wote wanaotumia android na IPhone.
3. Pricing (Business model)
Hapa tunaangalia Developers ananufaika vipi na kazi ya mikono yake
In simple words bidhaa itatumia Subscription ways na donations.
watakaochangia niwabunge husika. Mbunge ataruhusiwa kuwa admin wajimbo lake naku take control free kwa mwezi mmoja there after anaweza changia angalau 20,000 Tsh per month . Nadhani hii ni fare price kutokana na hadhi yao.
Mbunge Anaweza lipia kuanzia miezi mitatu kuondoa usumbufu wahapa na pale
Expected revenues
Kwa mwaka mbunge mmoja tuna expect achangie
20,000 @ 12 = 240, 000/= hii ni fare price
Expected returns kwa wabunge 100 mfano
240,000 @ 100 = 24,000,000/= total revenues per year .
Assume tukawa na version 10 kwenye nchi tofauti . (Niwatamainishe)
240,000,000 @ 10 = 2,400,000,000 /= per year ( hahaha kazi kwelikweli)
hapa Revenues itakuwa kubwa in gerenal. Donations ways mtu yeyote akijiskia atatuchangia kwa kazi nzuri.
4. PROMOTION
(WE ARE CTREATING DEMAND) –Self selling App
i. Hii ni project inayojiuza yenyewe kwakuanzia ni mahususi kwa wabunge na wanachi wao. So mbunge atalazimika kuonyesha kujali watu wake kwa kutumia njia hii rahisi yakuwasiliana nawatu wake . Majimbo yatakuwa yamewekwa tayari yakimsubiri mbunge kujisajili naku take control yanafasi yake ili kuwasiliana na watu wake. So App inawaita wabunge
App itawafanya wabunge waitangaze wenyewe kuomba ukaribu na wanachi wao. Pia media zitajikuta zinatangaza kwani ni maslahi kwa taifa.
ii. Developer atamshawishi mbunge kujiunga kwa kufanya direct approach kutumia e-mail zao na kutumia social medias kuwapa taarifa
iii. Kuomba wadhamini watakaowezesha kuitangaza kwenye social medias.
iv.Kuomba bloggers kuandika about it nakumba fursa kwenye vipindi vya radio au Tv kuitangaza.
Technical issues nisiongee sana . But it can be done Developer anaweza ifanya hybrid App kutumika kwenye OS zote kwani hardware sio issue kubwa kwetu ili product ifanye kazi.
Business ndo fani yangu (BAF) ila nahamasika kuingia kwenye field ya programming soon. Ninajua mengi kwenye IT nishasoma languages mbalimbali (theory na some few codes just hobby). Naweza soma codes zamtu nakuzielewa. Inshort ni designer mzuri not developer . Nina fursa nyingi hii nimeona iwe bonus tu . kwani zipo za pesa kubwa ambazo nishafanyia utafiti sina papara yakusoma codes nifanye mimi ila napenda shirikiana na watu ambao ni professional pia naipenda sana fani yangu.
Tutaftane pm kama unahitaji fanya wazo hili ili nitangaze linafanyiwa kazi wengne wasijisumbue nakupata hasara . Nitaendelea toa mawazo mengi kadri yamuda
Nawasilisha –nimawazo yangu