Msaada: Samsung galaxy note 1 haisomi IMEI wala NETWORK

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
476
421
Wakuu nana samsung galaxy note 1 ( gt n7000) gafla tu haisomi laini wala network haipandi nikaja kucheki haya IMEI NUMBER haisomi pia naombeni msaada kwa atakae weza pesa ipo.
 
nunua simu achana na brand......samsung ni bomu....simu gani hizo mnanunua?
rudisha kwa dealer atakubadilishia lakini uchukue brand nyingine
 
Huwa mnachanganya mada kurepair simu si kosa iliyo corupt imei kosa ni kubadili imei kwa madhumuni ya kukwepa kukamatwa kwa simu zilizoibiwa ama simu feki kuzifanya zionekane ni org hiyo si kwa Tanzania tu bali ni dunia nzima ni kosa.

"Serikali imewataka wauzaji wa vifaa vya mawasiliano vya mkononi (mobile devices) kuacha mara moja tabia ya kubadilisha namba tambulishi (‘kuflash’) za vifaa hivyo kwani watakabiliwa na kifungo kisichopungua miaka 10 au faini isiyopungua Sh. milioni 30 au vyote viwili.

Kauli hiyo imetolewa na Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Innocent Mungy wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.

“Namba tambulishi (IMEI) za vifaa vyote vya mawasiliano ya mkononi ambavyo vimeibiwa,vimeharibika,kupotea au visivyokidhi viwango vya matumizi katika soko la mawasiliano havitaruhusiwa kuunganishwa kwenye mitandao ya watoa huduma ifikapo tarehe 16 June 2016, “alisema Mungy.

Akizungumzia kampeni ya kuelimisha umma kuhusu matumizi ya simu zote zisizokidhi viwango, Mungy alibainisha kuwa idadi ya simu hizo imeshuka kutokana na elimu ambayo wameitoa katika mikoa mbalimbali hapa nchini.

Alisema lengo la elimu hiyo kwa umma ni kujenga uwezo kwa wananchi kutambua simu zisizokidhi vigezo kabla ya kufika ukomo wa matumizi ya simu bandia nchini.

Mungy alifafanua kuwa uchambuzi wa IMEI unaonyesha kuwa hadi Februari,2016 idadi ya namba tambulishi ambazo zilikuwa hazina viwango zilikuwa sawa na asilimia tatu ambapo namba tambulishi ambazo zimenakiliwa zilikuwa sawa na asilimia 18 na simu halisi zilikuwa sawa na asilimia 79.

“Kwa mwezi Machi 2016 ulionyesha kuwa Idadi ya namba tambulishi ambazo hazina viwango ni asilimia nne, na idadi ya zile zilizonakiliwa zilikuwa sawa na asilimia 13 ambapo uchambuzi huu umehusisha taarifa za kampuni zote za simu nchini,’’. alifafanua Mungy.

Aliongeza kuwa matokeo hayo mazuri ni matunda ya ushirikiano mzuri uliopo kati ya mamlaka hiyo, Shirika la Viwango Tanzania (TBS),Tume ya Ushindani (FCC),kampuni za simu, pamoja na wadau wengine katika kuelimisha umma juu ya uhakiki wa simu walizonazo ikiwa ni pamoja na mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kununua simu ikiwemo kuzihakiki ubora wake.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Usimamizi wa Mawasiliano wa Mamlaka hiyo, Injinia Gabriel Mruma amesema kuwa ni vyema Watanzania wakajenga utamaduni wa kununua simu zenye ubora kuepuka usumbufu wakati Tanzania inapoelekea ukomo wa matumizi ya simu bandia.

TCRA ina dhamana ya kusimamia shughuli za mawasiliano ya Kielektroniki na Posta hapa nchini.

Kuwepo kwa Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya mwaka 2010 na kanuni zake za mwaka 2011 kumewezesha kutekelezwa kwa mfumo wa rajisi ya namba za utambulisho wa vifaa vya mawasiliano vya mkononi.

Mfumo huu wa kielektroniki ulizinduliwa tarehe 17, Desemba 2015 na unahifadhi kumbukumbu za namba tambulishi za vifaa vya mawasiliano vya mkononi kwa lengo la kufuatilia namba tambulishi za vifaa vilivyoibiwa,kuharibika au kupotea,'

MWISHO WA NUKUU
KUFLASH SIMU SI KUBADILI IMEI NAMBA BALI NI KUREPAIR SIMU AMBAYO INA HITILAFU UPANDE WA SOFTWARE KWA MATATIZO MBALIMBALI
KAMA VILE
1.simu ku FREEZE (kutomaliza kuwaka labda ukiwasha inaishia neno TECNO na haiendelei kuwaka
2.kuwaka na kuzima
3.Simu kuingia virus kublock baadh ya function za simu
Pia kuna KU UNLOCK SIMU AMBAZO HAZITUII MITANDAO YA HAPA NCHINI ZIMETOKA NCH ZA NJE AMA UMENUNUA SIMU VODACO UNAKUTA WAME BLOCK 3G SIM1 ISOME VODA TU NA MTEJA ANAHITAJI KUTUMIA LAINI NYENGINE KUIFUNGUA KUTUMIA LAINI NYENGINE PIA SI KOSA
ndugu nipigie naweza kukusaidia online ama karibu ofisini kwetu 0715387545
 
Mkuu nimekupigia ila cm haipokelewi namba yangu ni 0659865639
 
SHERIA UTAKWENDA KUJUA POLICE.MAANA ANAE FLASH WANADAI NDIO WANA REPAIR CERT.NA KUCHANJI SASA WATU WANAKAMATWA KILA SIKU
 
Back
Top Bottom