Naomba kujua tatizo la pc yangu nikiinstall window 10 inaandika
the version of this file is not compatible with the version of windows you're running.check your computer's system information to...
Habari zenu wakuu. Ninapata shida kwa siku ya pili sasa, whatsapp nashindwa kabisa kuingia. Internet inasoma H+ 200Kbs per second, ila nikiingia whatsapp tu inashuka hadi 0 na nashindwa kutuma...
Ni baada ya kuzunguka kariakoo mtaa wa agrey kuitafuta s8 na kuikosa nimepata wazo ninunue s7 naomba kwa mlio bahatika Au mungu kuwajalia kuimiliki naomba kujui ipo vizuri kwa vitu vifuatavyo...
Wadau naomba kusadiwa kuna picha nilipost facebook kimakosa na nimegundua nikiwa tayari nime klick ile button ya post sasa nahitaji kuiondoa nimeshindwa, msaada kwenu wadau
Habari zenu wapendwa humu ndani,
Mwenye ujuzi au utaalamu wa kushusha new movie kwenye simu za android anisaidie maana kuna movie naitafuta sana.
Plesae naombeni msaada wenu.
Habar wana jf
Kama heading inavyojieleza.Mimi sio fundi wala sina uelewa na mambo ya kutengeneza simu.
Kuna kiasi firan cha pesa nategemea kupata siku za uson.sasa naplan nifungue ofisi ya...
Naomba msaada kwa yeyote. External Hard Disk yangu nili iprotect kwa kutumia Bitlocker. Nimesahau password na kwa bahati mbaya hata recovery key nimesahau niliko save. Naomba msaada kwa yeyote...
Wakuu habari za mida hii,nahitaji kufunga WiFi kwa eneo lipatalo kama square mita kama 110 hivi nitumie mechanism gani ili eneo lote liweze kuwa na WiFi au ni device gani inaweza kuwa na nguvu ya...
Kulingana na Tcra, Tanzania ina watumiaji mtandao (internet) million 17.3 kwa namba hzo hili ni soko kubwa sana.
Swali langu kwa wataalam kwenye sekta hii haswa wale wanaojihusisha na apps and...
Ndugu zangu naomba msaada kwa ambae anaujuzi huo anisaidie njia nyepesi ya kutengeneza mashine ya kutotolesha mayai ya kuku inayo tumia mafuta ya taa au vifaa vinavyo tumika kutengeneza mashine hiyo
Habari wanaJF
Kwa bahati mbaya nimefuta Chanel zote za tanzania kwenye Receiver yangu hivyo sipati tena chanel za hapa nchini, hivyo basi naomba msaada kwa mtu mwenye frequency za ITV, TBC...