Naomba msaada kwa yeyote. External Hard Disk yangu nili iprotect kwa kutumia Bitlocker. Nimesahau password na kwa bahati mbaya hata recovery key nimesahau niliko save. Naomba msaada kwa yeyote mwenye ujuzi wa ku unlock
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.