Frequencies za channel za tv za Tanzania

six packs

Member
Dec 23, 2015
62
203
Habari wanaJF

Kwa bahati mbaya nimefuta Chanel zote za tanzania kwenye Receiver yangu hivyo sipati tena chanel za hapa nchini, hivyo basi naomba msaada kwa mtu mwenye frequency za ITV, TBC, Chanel Ten, StarTV na pia za kenya kama K24 na KBC anipatie ili niziweke.
 
Back
Top Bottom