wadau naomba msaada kama kuna program yeyote inayoweza kukuonyesha simu ulizopigiwa wakati simu iko chaji na umeizima.
Hiyo sio App ni huduma (service) kutoka kwa Mtoa Huduma wako. wasiliana na mtoa huduma wako akuelekeze namna ya kujiunga Mkuu nakuona uko Na kitu cha window phone
Yes yes , ni cha windows phone 8.1 hicho.....Mkuu
Yap nimeiona hapo nazielewa sana niliuza nikahamia Apple naona majanga ngoja uwp ikamilike kukiwa Na apps za kutosha nitarudi huko