Wakuu habari za mida hii,nahitaji kufunga WiFi kwa eneo lipatalo kama square mita kama 110 hivi nitumie mechanism gani ili eneo lote liweze kuwa na WiFi au ni device gani inaweza kuwa na nguvu ya kusambaza eneo lote hilo?
Zipo nyingi ila uhakika wa kupatikana Bongo ndio issue. Better way ni kutembelea maduka yanayouza hivyo vifaa, fanya window shopping na upate list ya vifaa na bei. Ukiisha vipata leta list hapa upate review kisha kachukue kinachokufaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.