Msaada njinsi ya kutengeneza mashine za kutotolesha mayai

Feb 10, 2017
21
6
Ndugu zangu naomba msaada kwa ambae anaujuzi huo anisaidie njia nyepesi ya kutengeneza mashine ya kutotolesha mayai ya kuku inayo tumia mafuta ya taa au vifaa vinavyo tumika kutengeneza mashine hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom