Msaada: Namna ya kuondoa post Facebook

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
137
Wadau naomba kusadiwa kuna picha nilipost facebook kimakosa na nimegundua nikiwa tayari nime klick ile button ya post sasa nahitaji kuiondoa nimeshindwa, msaada kwenu wadau
 
kama unatumia facebook apps nenda kwenye profile yako then shuka chini mpka kwenye hiyo post uliopost kimakosa upande wa kulia juu utaona kimshale kinaelekeza chini touch hapo zitakuja option nyingi nyingi shusha chini utachagua delete au delete post then delete mchezo umekwisha
 
Aisee uko vizuri miss
 
Mkuu Facebook kabla huja click option ya kupost, kawaida huwa wanaona unacho taka kupost, unless unatumia unsupported browser.
 
Miss Moro vp kama ukibadili simu yaani tofauti na ile ya awali ukitaka kurejesha ile ile a/c yako ya facebook unapaswa kufanyaje ikiwa hukumbuki password yako ya awali?
 
hatua ya kwanza lazima uijue email yako au namba ulofungulia
lkn kwa sasa wengi hutumia namba ya simu
km ulifungulia kwa namba simu
hakikisha hiyo namba ipo hewani na upo karibu nayo(si lazima line ya namba iwe katika hiyo simu husika)

kinachofuata wakati wa kuingiza EMAIL au Namba simu we acha
kwa chini sehemu pameandikwa
forgort password? touch hapo
itaload then itakuja option ya kuweka namba ya simu au email
ingiza namba simu ulofungulia na hiyo facebook account ulosahau then touch FIND YOUR ACCOUNT
itaload then litatokea jina la account yako na profile picture
na neno CONFIRM SMS

(kama haijatokea jina na picha basi hukufungulia kwa hiyo namba au ikitokea picha na jina jingine itakuwa hiyo namba ulifungulia na account nyingne hivyo itakuw ngumu kuirudisha)

ikiwa zimekuja detairs za account yako yaan picha profile na jina hapo utatouch CONTINUE
papo hapo utatumiwa CONFIRM CODE kwa sms ya kawaida utaenda inbox yako lakini kabla hujaenda inbox wakati wa kutoka hapo FACEBOOK tumia MENU KEY ili usianze mwanzo ukifika inbox waweza ukacopy then unapaste au kama huwezi zikalili kichwan au andika pembeni au kama ipo katika simu nyingne yote sawa we utaziweka pale pameandikwa Enter code then touch continue
basi account itarud itakuja option utaingiza password mpya mara mbiri then utaanza kutumia kama zamani
 
Asante sana Miss moro.
 
Back
Top Bottom