Tueleweshane ndugu zangu kuhusu hii kitu aliyozindua raisi leo. Ni kama nimesikia ni kwa ajili ya mfumo wa ukusanyaji kodi, na mitandao ya simu ikonect hapo. Nini exactly plan ya hii project??
Naomben ushauri, nahitaji ninunue simu, ila cna ujuzi sana na cm.
Naomba mnishauri kati ya hizi ipi nichukuwe.
1*tecno C9plus*
2*Samsung s5*
3*Samsung s6*
Kwa Wale mnaopenda kutumia whatsapp kwenye computer, wengi wenu mlikua mnatumia aidha whatsapp web, bluestack au emulator nyingine nyingine. Naona Jamaa wamewaletea application kabisa ya...
Salaam Ndugu zangu, mnamo majuma mawili yaliopita niliweka mada mezani kuomba msaada kuwa mac book pro with retina display inch 13.3 imepata kitu kama screen crack kwa ndani hivyo kuleta mistari...
Kilio changu mimi ni kwa hawa majangiri. Hivi huku hamna hata wafanyakazi wa sekta hata ya ufagiaji tu huko airtel apeleke malalamiko? Haiwezekani ka kitu ka GB 13 inasema masaa 39 na wakati kuna...
Kilio changu mimi ni kwa hawa majangiri. Hivi huku hamna hata wafanyakazi wa sekta hata ya ufagiaji tu huko airtel apeleke malalamiko? Haiwezekani ka kitu ka GB 13 inasema masaa 39 na wakati kuna...
Wakuu habari zenu,
Kichwa cha habari chahusika. Natumia simu aina ya Tecno nashangaa nikituma msg yenye neno Sex message hiyo inafeli lakini msg zingne zote zinaenda hata niandike nini.
Kuna...
Je ukitaka kutengeneza operating system ya cm kama ilivyo android naombeni mnisaidie ni hatua gani zinaitajika kutumika nakaribisha mawazo na ushauri wenu.
Habarini wanajamvi.
Natumia PC aina ya Toshiba lakini nikiplay nyimbo yeyote kwa kutumia program yeyote na nikiingia YouTube huwa sound haitoki kwenye PC yangu. Nikiplay wimbo kwa kutumia media...
Hivi hakuna app ambayo inaweza kunisaidia kupost labda tangazo au any event kwenye Facebook group, mfano nina tangazo nataka nipost kwenye group za Fb tangazo moja nitume kwenye group labda 100...
Wakuu nimeibiwa simu mpya kabisa . Yani siku nimeinunua usiku ikaibiwa. Ni simu ya 1.7m. Siwezi sema ni aina gani mana uyo mwizi anaweza kuwa humu.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niipate. Polisi...
Habari wakuuu
Samahani naomba msaada kwa mtu alie DAR na ana FL STUDIO,nimejaribu kudownload site mbalimbali na inakua na reg keys ila nikiinstall inakua DEMO...kwaio NAOMBA MSAADA