Hapo kwenye nyimbo tumia adobe premier pro latest version... Kwenye ishu za harusi tumia sony vegas13Naomba msaada wa link ya kupata app nzuri ya kueditia video
Km movie
Nyimbo
Harusi
Nk.
Ile rahisi kutumia na iwe free..
Ahsanten naomba kuwasilisha ombi langu mezani.
Hp...window 7
kufanya editing nzuri unahitaji utaalam kutumia software kama vile sony vegas na nyinginezo nyingi ila download hii apa ni nzuri ukifatilia tutorials youtube utaelewa vizuriNaomba msaada wa link ya kupata app nzuri ya kueditia video
Km movie
Nyimbo
Harusi
Nk.
Ile rahisi kutumia na iwe free..
Ahsanten naomba kuwasilisha ombi langu mezani.
Hp...window 7
Ameulizia rahisi. AE unayompa siyo rahisi kama anavyotaka. Namshauri, kwanza asi-jump moja kwa moja ku-edit shughuli za watu (harusi, movies, nk). Aanze na trial projects zake mwenyewe, ama project za mazoezi. Aanze na simple software kama Windows movie maker. Ni ushauri tu.kufanya editing nzuri unahitaji utaalam kutumia software kama vile sony vegas na nyinginezo nyingi ila download hii apa ni nzuri ukifatilia tutorials youtube utaelewa vizuri
http://getintopc.com/softwares/graphic-design/adobe-after-effects-cs6-free-download/
mimi pia naunga mkono hapa, anza na movie maker au magix easy video editor, na kama ni rahisi kuelewa hata cyberlink powerdirector sio mbaya kuanzia, ukianza huko juu kwenye proffesional video editor na task kubwa kama hizo ni rahisi kushindwa na kukata tamaa.Ameulizia rahisi. AE unayompa siyo rahisi kama anavyotaka. Namshauri, kwanza asi-jump moja kwa moja ku-edit shughuli za watu (harusi, movies, nk). Aanze na trial projects zake mwenyewe, ama project za mazoezi. Aanze na simple software kama Windows movie maker. Ni ushauri tu.
Asanteekufanya editing nzuri unahitaji utaalam kutumia software kama vile sony vegas na nyinginezo nyingi ila download hii apa ni nzuri ukifatilia tutorials youtube utaelewa vizuri
http://getintopc.com/softwares/graphic-design/adobe-after-effects-cs6-free-download/
Haswaaa....nikiipata naanza mazoez kwanzaa...ila ujuz ninao kiasii ...kipaji ni naturalAmeulizia rahisi. AE unayompa siyo rahisi kama anavyotaka. Namshauri, kwanza asi-jump moja kwa moja ku-edit shughuli za watu (harusi, movies, nk). Aanze na trial projects zake mwenyewe, ama project za mazoezi. Aanze na simple software kama Windows movie maker. Ni ushauri tu.
Nisaidie link ya hiyo magixmimi pia naunga mkono hapa, anza na movie maker au magix easy video editor, na kama ni rahisi kuelewa hata cyberlink powerdirector sio mbaya kuanzia, ukianza huko juu kwenye proffesional video editor na task kubwa kama hizo ni rahisi kushindwa na kukata tamaa.
ur welcomeAsantee