Screen ya TV Samsung 32 inch

THE BROKER

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
740
892
Wakuu poleni na majukumu.
Jana TV yangu ilianguka na kuonyesha mustari kwenye screen yake kama inavyoonekana. naombeni ushauri kama kioo kinapatikana pia mwenye nacho tuongee aniuzie

Picha inagoma kuapload wakuu.
 
Back
Top Bottom