kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,698
- 1,941
Wakuu Naomba kujuzwa huu utaaalam process yake inakuaje na nini Faida yake na kwa laptop ambayo inasumbua program ya wireless connection na USB linakua kimepona ? Karibuni mafundi wakongwe
Dell latitude D 830hayo matatizo hayahusiani na windows na hata ukieka windows mpya haitasaidia, hayo ni matatizo ya driver, eka driver mpya inaweza kaa vizuri. kwa msaada zaidi tuma full model ya laptop yako
Mkuu natumia window 7 professionnitajie pia na windows unayotumia sasa hivi
Niliwai kujaribu kama izo izo zikafeli mkuu nifanyaje?nenda hapa
Support pour Latitude D830 | Pilotes et téléchargements | Dell France
utaenda network kisha chagua driver za wifi
haziwezi kufeli mkuu unless una tatizo la hardware maana hio ni official site ya dell.Niliwai kujaribu kama izo izo zikafeli mkuu nifanyaje?
Asante Ngoja Nijaribu mkuuhaziwezi kufeli mkuu unless una tatizo la hardware maana hio ni official site ya dell.
alternative click start halafu search device manager, ikija ifungue halafu chagua network adapters then utaiona hardware ya wifi yako, jaribu kuitumia hio kwenye kusearch driver yake.
Mkuu nakuta menu ya device kwa luga ya kifaransahaziwezi kufeli mkuu unless una tatizo la hardware maana hio ni official site ya dell.
alternative click start halafu search device manager, ikija ifungue halafu chagua network adapters then utaiona hardware ya wifi yako, jaribu kuitumia hio kwenye kusearch driver yake.
sijui tatizo ni nini kwangu inakuja kingereza ila niki link naona inakuja kifaransa.Mkuu nakuta menu ya device kwa luga ya kifaransa