kaisilitangalila
Member
- Jul 1, 2015
- 41
- 14
Habari zenu jamani natumia samsung ndogo lain moja nikaweka call barring ila sasa kila nikijaribu kutoa haitoki inaandika invald password msaada jaman plz mwenye ufahamu pz
ondoa hiyo kamba uliyofungia simu yako kwanza kila kitu kitakua sawa.
ondoa hiyo kamba uliyofungia simu yako kwanza kila kitu kitakua sawa.
duuhnunua simu mpya mkuu
inaleta invalid passwordpiga #35*0000#
ni mwana hisa wa akashiaMkuu twalib ngonyani
Mbona Umetoa Majibu Hayo Kama Tume Ya Kwanza Na Ya Pili Ya Makinikia
Mkuu siyo kAMbA. Ni rubber band.ondoa hiyo kamba uliyofungia simu yako kwanza kila kitu kitakua sawa.