unaweza kunieleza kiundani zaidi?
asante Chief-Mkwawa. Natumia yxtel
Mkuu finder za mpg4 na mpg2 bei gani??Mkuu kwa sattelite meter finder si huwa tunazileta ofisini kwetu ila tupo Dar es salaam. Tunafanya kazi na makampuni mengi tuu hapa Tanzania na Nje ya Tanzania kwa hapo Arusha tunatuma kwa basi la Kilimanjaro ama kwa Ndege. Compass zipo tunazo kwa stock hizo satelite meter finder kwa sasa kwa stock zimekwisha ila ukiwa upo serious twaweza kukuagizia na inaweza chukua 10 to 21 working days, hebu lete specifications za machines hizo unazotaka.
Kwa mahitaji mengine waweza tembelea website yetu though bado inafanyiwa marekebisho but kwa kiasi fulani ipo hewani Www.beqitinc.co.tz au twaweza wasiliana kwa mobile 0789680000, email steven.robert@beqitinc.co.tz muda wowote ule mkuu kajiti
Mkuu finder za mpg4 na mpg2 bei gani??
nendeni thread hiiHata Mimi hiyo kitu naisaka sana maana nikienda kumfungia mteja dishi mpaka tutoe TV nje binafsi kwangu haileti Picha nzuri labda liwe eneo la ndani.
Mkuu finder za mpg4 na mpg2 bei gani??
Acha ulanguziMPG4 ni kuanzia 980000 mpaka 1900000 Vat Inclusive, Mpg2 kuaniza 760000 mpaka 2566000 vat Inclusive
Kama upo dar.Nenda kwa Levi au Mmase
Bei 16000- 300000 mpeg2 350000- 500000 mpeg 4
Arusha agizia nai utapata kwa 15k mpeg4wapi naweza kupata vifaa hivi kwa Arusha au Moshi? kama unajua na bei nijuze tafadhali?