Application ipi nzuri kwa kutafuta smartphone iliyoibwa?

vallentino86

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
529
250
Habari zenu wadau wote wa JF, poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Samahani kwa usumbufu wanachama wenzangu wa Jamii Forums ila naomba kufahamishwa ni application ipi nzuri kwa kupata sim ilioibwa sana sana hizi smartphone iwe Android au iPhone. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, nawatakia usiku mwema na familia zenu zote na mlale salama.
 
Miss moro

Senior Member
Aug 9, 2016
120
500
Mobile Tracker Free | Cell Phone Tracker App | Monitoring App for Android Smartphone

Spy GPS Tracker

Hizo unamtwanga mpk picha unamrecord akiongea au krecord maingezi ya kawaida unapiga screenshort unalock simu unamtumia sms gata akiweka line nyingne inakwenda kama frash massage akiweka line inakutaarifu ni mtandao ganu nk
na nzuri pia km unataka kujua mchepuko wa DEMU wako ni rahisi install apps katika simu yako au mtu wako fuata maelekezo then jisajiri na email yako katika website zao then tulia katika laptop au simu browser kumuona mwizi wa tunda lako au ukiibiwa simu unamtafuta tu labda afanye hard resete lkn pia unaweza set simu yako asifanye hardresete mpk akafrash kwa mafundi

Lkn jambo kubwa ukiibiwa simu andaa ela hata kama hujui IMEI fungua kesi nenda sento kuna watu wa kazi wanaifatilia na wanaipata then gharama zako zote anakulipa mwinzi wako muhimu kabla husirenew line ulizokuwa unatumia kwenye hiyo simu hakikisha kwanza mpelelezi wako au wewe mwenyewe ushaenda kwa watoa huduma ama tigo au voda wakakutajia IMEI yako basi mchezo umeisha labda aivue IMEI na akiivua TCRA hawamkwepeshi wanaifungia faster sema watu sisi wavivu tu
 
vallentino86

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
529
250
Mobile Tracker Free | Cell Phone Tracker App | Monitoring App for Android Smartphone

Spy GPS Tracker

Hizo unamtwanga mpk picha unalock simu nk na nzuri pia km unataka kujua mchepuko wa DEMU wako

Lkn jambo kubwa ukiibiwa simu andaa ela hata kama hujui IMEI fungua kesi nenda sento kuna watu wa kazi wanaifatilia na wanaipata then gharama zako zote anakulipa mwinzi wako muhimu kabla hujarenew line ulizokuwa unatumia hakikisha mpelelezi wako au wewe mwenyewe ushaenda kwa watoa huduma ama tigo au voda wakakutajia IMEI yako basi mchezo umeisha labda aivue IMEI na akiivua TCRA hawamkwepeshi wanaifungia sema watu si wavivu tu
a7f9351d50aa7aed0561732bc2d20a88.jpg
 
vallentino86

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
529
250
kuna mwngne amenshauri nitumie iyo nlioizungushia lkn baada ya kuidownload naona kama siielew. Ngoja niijarib app ulonielekeza Miss moro
 
vallentino86

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
529
250
Mobile Tracker Free | Cell Phone Tracker App | Monitoring App for Android Smartphone

Spy GPS Tracker

Hizo unamtwanga mpk picha unalock simu nk na nzuri pia km unataka kujua mchepuko wa DEMU wako
Aisee hii app imenishinda mana nshaidownload lkn kila nkifanya installation wala haionekan ktk apps
Lkn jambo kubwa ukiibiwa simu andaa ela hata kama hujui IMEI fungua kesi nenda sento kuna watu wa kazi wanaifatilia na wanaipata then gharama zako zote anakulipa mwinzi wako muhimu kabla hujarenew line ulizokuwa unatumia hakikisha mpelelezi wako au wewe mwenyewe ushaenda kwa watoa huduma ama tigo au voda wakakutajia IMEI yako basi mchezo umeisha labda aivue IMEI na akiivua TCRA hawamkwepeshi wanaifungia sema watu si wavivu tu

Mobile Tracker Free | Cell Phone Tracker App | Monitoring App for Android Smartphone

Spy GPS Tracker

Hizo unamtwanga mpk picha unalock simu nk na nzuri pia km unataka kujua mchepuko wa DEMU wako

Lkn jambo kubwa ukiibiwa simu andaa ela hata kama hujui IMEI fungua kesi nenda sento kuna watu wa kazi wanaifatilia na wanaipata then gharama zako zote anakulipa mwinzi wako muhimu kabla hujarenew line ulizokuwa unatumia hakikisha mpelelezi wako au wewe mwenyewe ushaenda kwa watoa huduma ama tigo au voda wakakutajia IMEI yako basi mchezo umeisha labda aivue IMEI na akiivua TCRA hawamkwepeshi wanaifungia sema watu si wavivu tu
 
metudi

Senior Member
Aug 13, 2014
139
225
Mobile Tracker Free | Cell Phone Tracker App | Monitoring App for Android Smartphone

Spy GPS Tracker

Hizo unamtwanga mpk picha unamrecord akiongea au krecord maingezi ya kawaida unapiga screenshort unalock simu unamtumia sms gata akiweka line nyingne inakwenda kama frash massage akiweka line inakutaarifu ni mtandao ganu nk
na nzuri pia km unataka kujua mchepuko wa DEMU wako ni rahisi install apps katika simu yako au mtu wako fuata maelekezo then jisajiri na email yako katika website zao then tulia katika laptop au simu browser kumuona mwizi wa tunda lako au ukiibiwa simu unamtafuta tu labda afanye hard resete lkn pia unaweza set simu yako asifanye hardresete mpk akafrash kwa mafundi

Lkn jambo kubwa ukiibiwa simu andaa ela hata kama hujui IMEI fungua kesi nenda sento kuna watu wa kazi wanaifatilia na wanaipata then gharama zako zote anakulipa mwinzi wako muhimu kabla husirenew line ulizokuwa unatumia kwenye hiyo simu hakikisha kwanza mpelelezi wako au wewe mwenyewe ushaenda kwa watoa huduma ama tigo au voda wakakutajia IMEI yako basi mchezo umeisha labda aivue IMEI na akiivua TCRA hawamkwepeshi wanaifungia faster sema watu sisi wavivu tu
Bado haisadii kitu, your last solution unayosema ww ni ku track IMEI no, hao TCRA wenyewe wamefail juu ya jambo hilo...kuna sim nyingi tu mitaani ambazo hazina utambulisho halisi na zinafanya kazi..either hyo mitambo wanayo itumia kufanya hizo kazi nayo ni fake, kuna mtu anamiliki sony experia Z1 lakin ukitafuta utambulisho wake inakwambia ni Nokia asha, but hiyo mitambo imefail ku deactivate hii sim mpka leo. Kwa ujumla hakuna solution hapo it is just wasting of your time, labda huyo mwizi hasiwe mjuzi wa haya mambo ndio utamshika kwa hizo njia ulizo taja..the only solution kwa sasa for security matters nunua Iphone utumie hiyo ndio sim ambayo mpka sasa hakuna verified testimonial eti kwamba wataalam wame win kuichezea but for android mkuu utatwanga maji ktk kinu tu.
 
TCRA hawahusiki na kumkamata mwizi hata ukiwapelekea IMEI watakutoa balu na ukileta ubishi watakutandika bakora
Lingne nimekwambia hapo juu labda awe ameivua IMEI yaan kubadirsha utambulisho wa simu kama ilivyofanywa hiyo sony xperia inebadilishwa utambulisho wake halisi hapo inasoma utamburisho feki so no ngumu kumpata km alikuwa mjanja na akafuata prosija
Na ukumbuke au kam hujui jua sasa wanaokufungia ACCESS ya network ni provider eg: tigo voda airtel nk kwa idhini ya TCRA ndo mana simu ikiwa feki kama ujajishaua kuangalia kama feki au si feki unaweza kunusurika au wkt mwingne hutokea tu bahati km hiyo XPERIA Z Lkn bado watu wanavua tu IMEI ukifunga hii anaweka nyingne

Sasa nikuelezee namna polisi anavyoikamata simu ikiwa IMEI haijabadilishwa au hata ikabadilishwa lkn akachomeka line yake kinachomkuta kumbuka katika yote TCRA hausiki hata kidogo nafuturu halafu nitakueleza namba tulivyofanikiwa kuzipata simu tatu kwa hiyo njia
 
Nyagei

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
13,133
2,000

Nasubiria
 
Hivi kuna sehem nimesema TCRA ndio wana husika kukamata wezi! Hahah!!! Maelezo yngu yame- stick hizo solution unazosema ww kwamba ndio sahihi, na nimekwambia hizo solution ulizotoa zitakuwa effective kwa mtu hasiye elewa how mobile technology works, na ujue when we ar talking about professional solutions hakunaga swala la bahati eti huyu ana bahati sim yake "haijafungiwa'' hahah!! This is ridiculous!! Sipo kujua procedure mm nazungumzia what is going on in the Field, hizo solution ni weak. Kwa ratio ya 1:100 hakuna haja ya kunasib et inafnya kazi,, its doesn't matter who have an authority to deactivate network iwe TCRA au makampuni ya sim mm nazungumzia efficiency ya hizo security solutions ulizo zitaja. Na ww kama ni polis am sure hao mliowakamata watakuwa ktk lile group la wasio elewa they know nothing about technology yan wananunua sim za wizi either kwa kujua ama kutokujua wanaweka chip zao wanatumia... Ata hiyo cyber crime unit yenu ni poor tena very poor everyday watu wanavunja sheria ktk social network bt wanao kamatwa ni 2 kwa 1000 tena hao wawil ni wale wasiojua chochote kuhusu technology hizo procedure mnazo zitumia baki nazo tu au waeleweshe wasiojua. For security matters chukua iphone tu achana na njia za kubahatisha, mpka sasa dunia nzima hakuna aliyeweza kuchezea mfumo wao wa ulinzi, nunua weka icloud malizia na pass code yako kazi umemaliza
 
Mzaleee

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,162
2,000
Mobile Tracker Free | Cell Phone Tracker App | Monitoring App for Android Smartphone

Spy GPS Tracker

Hizo unamtwanga mpk picha unamrecord akiongea au krecord maingezi ya kawaida unapiga screenshort unalock simu unamtumia sms gata akiweka line nyingne inakwenda kama frash massage akiweka line inakutaarifu ni mtandao ganu nk
na nzuri pia km unataka kujua mchepuko wa DEMU wako ni rahisi install apps katika simu yako au mtu wako fuata maelekezo then jisajiri na email yako katika website zao then tulia katika laptop au simu browser kumuona mwizi wa tunda lako au ukiibiwa simu unamtafuta tu labda afanye hard resete lkn pia unaweza set simu yako asifanye hardresete mpk akafrash kwa mafundi

Lkn jambo kubwa ukiibiwa simu andaa ela hata kama hujui IMEI fungua kesi nenda sento kuna watu wa kazi wanaifatilia na wanaipata then gharama zako zote anakulipa mwinzi wako muhimu kabla husirenew line ulizokuwa unatumia kwenye hiyo simu hakikisha kwanza mpelelezi wako au wewe mwenyewe ushaenda kwa watoa huduma ama tigo au voda wakakutajia IMEI yako basi mchezo umeisha labda aivue IMEI na akiivua TCRA hawamkwepeshi wanaifungia faster sema watu sisi wavivu tu
Mkuu nawezaje kuivua Emei Simu yang Msaada please
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom