Msaada wa haraka,nilikuwa nafanya factory reset bila charge ya kutosha.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,522
20,695
Nilifanya factory reset huku simu ikiwa kwny charge,ghafla umeme ukakatika huku sijamaliza zoezi,simu ikazingua kabsa,lkn nilifanikiwa kuwasha lkn imekataa kabisa kusoma mtandao.msaada wenu wajuzi
 
Back
Top Bottom