Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 109
Habari zenu waungwana,
Kuna jamaa anauza Acer Chromebook 15 CB3-532 C47C kwa shillingi Laki 3.
Nimepata wazo la kuinunua. Naomba ushauri wenu kwamba vp kwa bei hiyo inalingana na thamani ya PC yenyewe.
Lkn pia ningependa kujua kama naweza kubadili kutoka Chromebook OS kwenda Windows OS?
Ahsanteni sana.