How to scan for Free Open Ports in Any ISP for Free Internet

How to scan for Free Open Ports in Any ISP for Free Internet

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Baada ya kupokea Simu na PM nyingi watu wakiomba Settings za Mitandao mingine kam niliyoitaja hapo chini nimeona nishare nanyi jinsi ya kupata hizo settings ambazo zitakufaa kulingana Mtandao unaopata 3G/4G eneo lako
Ni mda pia muafaka wa watumiaji wa VPN kujisifu maana mpaka sasa almost ISP wote hapa chini kwetu wameanza kutoa magic SIM Cards hivo kutupa nafasi kubwa kufurahia speed tamu sana na kuchagua ISP umtakaye bila shida
MAGIC SIM CARD Providers:-
1.Basi la Kabang
2.Tabsamu
3.Basi la kijani GSM and CDMA(weak)

Hivo katika Tutorial ya leo ntaelekeza jinsi ya kupata Free Open Ports itwasaidi hakina @X.100 na kichwanazi waliowahi kuomba msaada wa vitu kama kutumia loopholes kwa baadhi ya ISP tajwa hapo juu

There are Two types of ports
1.UDP ports e.g 80,8080,9201,9200,443 and are usually faster than TCP ports
2.TCP ports e.g 443 is usually open in every ISP but requires a Free working page e.g http://internet.tigo.co.tz and Proxy

Katika tutorial ya leo ntadeal na UDP ports kwa leo siku nyingine ntaongeza TCP port scanning

Methods and Tools Used in Port scanning
1.PD proxy port scanner
2.Tunnelguru Port scanner
3.Wi-Free a magic VPN
4.Packet analyser e.g wireshark and smart sniifer from HERE

How to Scan for free Open ports
1.Using PD Proxy
>Register free Account if not yet from HERE
>Download default PD Proxy from HERE
>Connect your USB Dongle with default APN and 0 balance
>Run PD Proxy and feel your login details

jf5ejubsks7cw6537d7p.png

>Navigate to settings>advanced settings>proto options then fill ports to 0

ay6sg949fqkqonrxd80p.png
dy8d.png

>Save and Go back and press connect it will say scanning open ports>Open ports xxxx found and it will connect

zbf8ngnhizxti0zmvslt.png
mp3x.png

>Use the Port sniffer to record the Remote port(Rport) and Local port(Lport) download it from HERE

rj7e1ysnzbmxcaqk0xuf.png
sidk.png

N:B Do not USE the Port scanner for it takes a Century to finish

2.USING TunnelGURU version 2.4
>Install Java from HERE
>Run TG 2.4 and follow the instructions from Port scanner

0awmbtmjixy58x64pr5b.png
ikj3.png

Results will be after 2hours

01gpi527bbze3ordz1lp.png
6khj.png

3.Using Wi-Free
>Download it from HERE
>Register HERE
>Run Wi-Free as Admin and alternatively properties>compatibility
>Connect your USB Dongle as usual aand Connect Wi-Free
>When it is connected Use Port sniffer to record the Rport and Lport
attachment.php

NOTE:Make sure you note the IP of the server you are using to connect to know the really Open port you are connected to
THIS TUTORIAL MAY SEEM MEANINGLESS BUT IT WILL BE USEFUL ON THE APPOINTED TIME
MOTTO:SHARING IS CARING
 
  • ​Hii uliyoeleza ni njia moja wapo, Bado njia nyengine ya kutumia site
 
  • ​Hii uliyoeleza ni njia moja wapo, Bado njia nyengine ya kutumia site

Mm nimetoa ninayoiona ipo reliable na 100% efficient(tough they say no machine is 100% efficient) ila kama kuna shingine sikutoa tunasubiri hiyo nyingine ya kutumia site
sababu mm nimetoa ninachokijua tunasubiri idea yako
 
hehe kijana njunwa me ninayo idea na haya mambo... nimepata elimu hii kwa hawa wahindi tricksforall.com ila thanks kwa sharing..
anyway nakuulizen njunwa na mwl.rct kuna ambae amefanikiwa kutummia kwa vpn basi la kijani?
najua kwa http inawezekana
 
  • Yap linapiga safari kama kawaida, Na kama alivyo bainisha mdau hapo juu Mabasi yote waweza tumia.
  • Kama unahitaji kutumia fuata maelekezo ya TG niliyoweka hapa , Kama utahitaji TG v2.4.0.0 nimeiweka hapa
 
Basi la kijani upande gani?CDMA au GSM lkn hicho kitu cha TunnelGuru ndo funga kazi kwa kupata loopholes
Anyways in short mwenyewe nilikuwa natumia sana enzi za HTTP Tunnel lkn baada ya miezi wakablock hadi wa leo sijawai shughulikia lkn leo naomba SIM card afu nakupa Updates iwapo port scanners zitfanya kazi
 
mkuu umefahamu lakini? nimesema najua kama basi la kijani linapiga kazi kama kawaida kwa http via tunnelguru.. kwa vpn vp?? kuna ambae ameweza kupenetrate????.. mana inaconnect na inaonesha port zipo wazi ila no packets received..
nataka nitumie kwa vpn kwan http sucks(masuala ya tg no,nk).. nimestop kitambo
 
Basi la kijani upande gani?CDMA au GSM lkn hicho kitu cha TunnelGuru ndo funga kazi kwa kupata loopholes
Anyways in short mwenyewe nilikuwa natumia sana enzi za HTTP Tunnel lkn baada ya miezi wakablock hadi wa leo sijawai shughulikia lkn leo naomba SIM card afu nakupa Updates iwapo port scanners zitfanya kazi

GSM kaka
 
kaka umejaribu kwa PD proxy maana Shaffin Simbamwene amewai kuniomba hii kitu nikampa lkn kilikuwa hakiko stable kinadisconnect sana
sasa nataka kujua umejaribu kufanya kwa PD au unasubiri tukutafunie wengine line za Zantel zishapotoe mpaka za kuazima au kutengeneza upya
 
Last edited by a moderator:

hata kwa pdproxy.. ngoja nijaribu kwa tcp
 
Daah ngoja tufanyie kazi hiyo tutorial

usisahau kushare na wenzako maana wengine naona eti wanani PM kuomba port za Basi la Kabang wakati maujanja nimeshatoa na wengine wataongezea amabpo sikuelezea vizuri
 
Wakuu tujitahidi tupate PORT za TIGO waweshalegeza kitambo na kuna mtu yuko Mbeya yeye inamwambia Open Port port 110 found so walio na genuine OS jaribuni kufigure out Local port maana remote port tushazipata
 
tokea Asubuhi PD inascan tu kusaka hizo tundu za kupenyea but haionyeshi dalili za kumaliza kuscan so Naona niwaachie wenyewe!
Mwenye kujua jinsi ya kutumia unlimited ya BB kwa PC anikonyeze hata kwa PM maana kila nikijaribu napata EDGE tu na mpunga unaliwa kama kawa. njunwa wamavoko chief-mkwawa Mwl.RCT Paul S.S Never give up nawaona hapo chini naombeni mwongozo tafadhali
 
kaka umejaribu kwa PD proxy maana Shaffin Simbamwene amewai kuniomba hii kitu nikampa lkn kilikuwa hakiko stable kinadisconnect sana
sasa nataka kujua umejaribu kufanya kwa PD au unasubiri tukutafunie wengine line za Zantel zishapotoe mpaka za kuazima au kutengeneza upya
Mkuu CDMA ndiyo inadisconnect kila dk 10 ila Magic sim ya hawa jamaa sidhani kama inakamatwa na mavpn ila kwa madude yetu yalee sawa
 
tokea Asubuhi PD inascan tu kusaka hizo tundu za kupenyea but haionyeshi dalili za kumaliza kuscan so Naona niwaachie wenyewe!
Mwenye kujua jinsi ya kutumia unlimited ya BB kwa PC anikonyeze hata kwa PM maana kila nikijaribu napata EDGE tu na mpunga unaliwa kama kawa. njunwa wamavoko chief-mkwawa Mwl.RCT Paul S.S Never give up nawaona hapo chini naombeni mwongozo tafadhali

Ulichokosea Umetumia Port scanner Button ambayo nimetoa Quotion kuwa inaweza chukua hata Centuries bila kumaliza!
Pili kompuyta zinatofautia,server ndo usiseme kuna server port speed zake zimeelemewa hivo unakuta hata kuweza kupata port ni Vigumu zoezi la Kusema Open Port XXXX found ni zero minute hivo ukiona imeganda Dakika nyingi mno ipotezee na ujaribu kwa server Mpya
Kati ya watu walio fanya Advancement ni kichwanazi ambaye mpaka sasa kapata Port 3 kwa basi la Kabang
Ngoja kifurushi cha kabang yangu kiishe nione how to go about
 
Last edited by a moderator:
tokea Asubuhi PD inascan tu kusaka hizo tundu za kupenyea but haionyeshi dalili za kumaliza kuscan so Naona niwaachie wenyewe!
Mwenye kujua jinsi ya kutumia unlimited ya BB kwa PC anikonyeze hata kwa PM maana kila nikijaribu napata EDGE tu na mpunga unaliwa kama kawa. njunwa wamavoko chief-mkwawa Mwl.RCT Paul S.S Never give up nawaona hapo chini naombeni mwongozo tafadhali

Nimesahau kukujibu kuhusu blackberry hiyo kitu kwangu mm sijaitafiti maana mwezi mzima bado nakomaa na Hawa jamaa wa Smile Tanzania - Tanzania home lkn duuuh nimeumia sana lkn I will not surrender

Nigeria wamekuwa wakitumia Unlimited Brackebery kupata Unlimited kwenye simu
Tafuta software ya Kutumia brackbery kama Modem e.g Nokia PC suite kwa Nokia
APN:brackbery.net
UDP port:500
Local port:0

Au kwa TG na PD waweza Tumia ICMP Protocol
ICMP waweza jaza Rport 500 in case iko needed

Nimeshare tweeak ya MTN nigeria And Am not if it works for all BIS users all over the word lkn hicho kitu wamekuwa wakikitumia Nigeria lkn Pole yao week mbili zilizopita waliBlock huo mchezo
 
Back
Top Bottom