boblyy sams
Member
- Jul 1, 2015
- 27
- 34
Nina shida na display ya Tecno W5, simu yangu imeharibika display so kama kuna fundi anaweza kufix tatizo hili anijuze bei ya matengenezo na sehemu alipo but iwe within Dar-es-salaam.
Nakushauri Nenda Customer service centre (CARLCARE ) utahudumiwa vzrNina shida na display ya Tecno W5, simu yangu imeharibika display so kama kuna fundi anaweza kufix tatizo hili anijuze bei ya matengenezo na sehemu alipo but iwe within Dar-es-salaam.
Mimi nahitaji mashine, niuzie kama uko tayariNina shida na display ya Tecno W5, simu yangu imeharibika display so kama kuna fundi anaweza kufix tatizo hili anijuze bei ya matengenezo na sehemu alipo but iwe within Dar-es-salaam.
inapatikana wapi hiyo mkuuNakushauri Nenda Customer service centre (CARLCARE ) utahudumiwa vzr
sipo tayariMimi nahitaji mashine, niuzie kama uko tayari