Naipenda VIETEL H8501

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,240
1,794
Hii ni smartphone ya Halotel ambayo nilinunua mwanzoni mwa mwezi wa 12/2015 mpaka leo naitumia uzuri ukiipiga charge ikawa full unaweza naenda nayo hadi 3 days huku ukitumia internet ndo battery inaisha na battery ikiwa na red warning bado inaweza piga kama nusu saa hivi niliichukua kwa 210000 lakini sasa ni 195000 icheki utaipenda ina.

Ram 4 GB na rom 8GB flash camera n.k angalia specification zake kwenye website ya Halotel
 
Ngoja hii hapa picture mkuu

ee95a254842030aaab39127141e3778b.jpg
21e14f4dec9e0fddcc76d7f080515615.jpg
 
Back
Top Bottom