Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wanandugu Nina Shida ya Haraka i hope kuna wazoefu hapa sasa kesho nina Paper la Civil Engineering Drawings sasa ukiachana na kuchora kuna Mambo kidogo hatukuwekewa wazi kama ifuatavyo. 1.To find...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Katika pita pita nimeona hii website nimetokea kuvutiwa nayo sana ni website toka nchini kenya nahitaji niwe nafanyia manunuzi humu badala ya eBay msaada aliyewahi kuitumia anisaidie na ushauri...
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Jaman nina simu tecno j8 mwanzo ilikua inakaa na chaj sana sasaiv kwa siku nachaaj ata mara 3 shida ni kwamba betri ake imetengenezewa kwa ndani jeh naweza kuibadl kuweka mpya .
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Nimeona mijadala mbalimbali ya ndege na baadhi ya changamoto za kutua au kupaa. Swali langu ni kuwa je kuna uwezekano baada ya ndugu kugusa ardhi ikaunganisha na kupaa tena. Yaani kwa mfano...
1 Reactions
67 Replies
9K Views
Habari zenu jamani natumia samsung ndogo lain moja nikaweka call barring ila sasa kila nikijaribu kutoa haitoki inaandika invald password msaada jaman plz mwenye ufahamu pz
0 Reactions
18 Replies
18K Views
Kwenye windows bonyeza Windows key + R , kitatokea kiboksi - we andika 'regedit' (bila kuweka ' '). Itafunguka Registry Editor, sasa ingia na kuanza kutafuta hapa: HKEY_CURRENT_USER\Control...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana, Kuna jamaa anauza Acer Chromebook 15 CB3-532 C47C kwa shillingi Laki 3. Nimepata wazo la kuinunua. Naomba ushauri wenu kwamba vp kwa bei hiyo inalingana na thamani ya PC...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenye box tajwa hapo juu anitafute 0714160121
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Mapinduzi makubwa ya teknolojia yamepelekea mambo mengi kufanyika kwa uhakika zaidi, unaweza kufahamu nyendo za mwenzako, mahali alipo na hata kufahamu muda husika bila ya yeye kufahamu. Sasa...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Nilifanya factory reset huku simu ikiwa kwny charge,ghafla umeme ukakatika huku sijamaliza zoezi,simu ikazingua kabsa,lkn nilifanikiwa kuwasha lkn imekataa kabisa kusoma mtandao.msaada wenu wajuzi
0 Reactions
4 Replies
774 Views
Jamani naombasaada wa kuipata link ya tomabo
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Nina shida na display ya Tecno W5, simu yangu imeharibika display so kama kuna fundi anaweza kufix tatizo hili anijuze bei ya matengenezo na sehemu alipo but iwe within Dar-es-salaam.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu msaada kwa anaefahamu TTCL mobile (CDMA) internet settings. Nina router inayotumia CDMA sim card ambayo haikutoka TTCL kwa hiyo haina settings. Kama una modem ya USB unaweza kuzipata...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Wadau habarini za muda. Naomba msaada wenu kwa wiki moja sasa nashindwa kuangalia chochote youtube, inanijibu connection to server is lost. Msaada wa haraka jamani kuniokolea jahazi hili wadau...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
wapi naweza kupata vifaa hivi kwa Arusha au Moshi? kama unajua na bei nijuze tafadhali?
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari zenu wadau wote wa JF, poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Samahani kwa usumbufu wanachama wenzangu wa Jamii Forums ila naomba kufahamishwa ni application ipi nzuri kwa kupata sim ilioibwa...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Naomba kuelekezwa jinsi ya kuspy simu ya mtu bila yeye kujua.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari. Hii application nime download, ipo katika simu yangu na nimejaribu kuitumia sioni mafanikio. Je kuna mtu amfanikiwa kutumia application hii anipe uzoefu. Thanks
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Namna ya kufanya screen shot kwa simu ya Tecno Y -6
0 Reactions
3 Replies
772 Views
Baada ya kupokea Simu na PM nyingi watu wakiomba Settings za Mitandao mingine kam niliyoitaja hapo chini nimeona nishare nanyi jinsi ya kupata hizo settings ambazo zitakufaa kulingana Mtandao...
2 Reactions
43 Replies
23K Views
Back
Top Bottom