NON-SYSTEM DISK OR DISK ERROR DURING WIN 10 UPDATE INSTALLATION

Naipuli

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
251
225
Waungwana, habari za usiku huu.

Imetokea wakati wa kufanya Installation ya Cumulative updates ya WINDOWS 10 ENTERPRISES.
Naomba ushauri wenu katika kutambua tatizo laweza kuwa ni nini na tiba yake ni ipi?
Kama inavyoonekana kwenye picha hizi.
 
Attachments

 • IMG_20170625_193424.jpg
  File size
  413.9 KB
  Views
  44
 • IMG_20170625_192157.jpg
  File size
  333.8 KB
  Views
  25

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,470
2,000
mkuu pxe inamaanisha unaboot na network, hapo kuna mambo mawili

1. HDD yako imeharibika au haisomi hivyo windows inachagua network baada ya kuikosa HDD

2. Boot order kwenye Bios umeset Network iwe ya kwanza kabla ya HDD.

cha kufanya hapo jaribu kwanza kurudi kwenye bios kisha angalia boot order ya kwanza ni HDD?

kama ni HDD jaribu kuitoa hio HDD ieke kwenye case then itest kwenye mashine nyengine kama ni nzima.

alternative tumia bootable flash yenye os hata ndogo kama distro za linux kucheki kama ni nzima hio HDD

kuna tool pia kama minitool partition wizard wana bootable software unaweza ukaieka kwenye flash badala ya hizo linux distro
 
Ahsante sana Chief-Mkwawa kwa elimu hii, nitarudi tena hapa kuleta mrejesho.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom