Kilicho wakuta Jamiiforums ndio kinawakuta Telegram sasahivi

nijothemaster

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
324
195
Habarini ndugu wananchi.....

Mtandao wa kijamii Telegram(wenyemfanano na Whatsapp) unakumbana na kesi yakuhusika na mlipuko uliotokea huko Urusi.....

Vikosi vya ulinzi vinautaka mtandao huo(Telegram) kuachilia data zao iliwafanye uchunguzi lkn Durov(mmiliki wa Telegram) anakomaa hataki.......

Ni same issue kama ya jamiiforum.....
 
Chenchele

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,753
2,000

In the middle of difficulties, Rights talks for the righteous one.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,096
2,000
Na ni kama kilichowakumba Apple, labda na wao hiki kikombe kitawapita.
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,944
2,000
Kama mtanzania tu mmiliki wa hii JF aliyashinda masahibu kama hayo natumai hata huyo jamaa mmliki wa Telegram ata win tu,,,, though sijui sheria za nchini kwao zmekaaje....
 
  • Thanks
Reactions: SDG

NIYOMBARE

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
3,735
2,000
Kama mtanzania tu mmiliki wa hii JF aliyashinda masahibu kama hayo natumai hata huyo jamaa mmliki wa Telegram ata win tu,,,, though sijui sheria za nchini kwao zmekaaje....
Jf haijashinda mkuu.
 
nijothemaster

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
324
195
mkuu jambo kama hilo liliwakuta Apple vs Fbi lakini mwisho picha fbi walishindwa kupata ushirikiano
Apple inamisimamo acha kabisa.....kutafuta terrorists watumie njia zingine tu lasivyo kung'ang'aniza kupata taarifa zawatu hivi kutapoteza ladha ya mitando yakijamii
 
usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
12,196
2,000
Sasa Russia nae analipuliwa
Sasa tutaokolewa na nan
USA anadili na waarabu

Shida yake n gas hatak
Kujua kuna viumbe watateketeA

France hata kutambaa na shda hebu Germany amken
Na nyinyi tuone kama
Mtasaidia kumaliza
Isis na wenzake
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,301
2,000
Tofauti ni kuwa Telegram iko encrypted end to end hakuna uwezekano wa kuwapo hizo message maana hata Telegram hawawezi kuzifungua. Jamii forum wanaweza kugawa data zetu zote wakiamua.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom