Naomba ushauri kuhusu inverter

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Wakuu naombeni mnipe ushauri. Ninahitaji kununua au kusukiwa inveter yenye uwezo wa utput ya 2000w, 50Hz.

Nimefanya survey inveter ya dukani ya uwezo uo itanicost zaidi ya 1.5m lakini ya kusuka ni around 600,000.

Naomba mwenye utaharam wa mambo hya anisaidie. Je nichukue yakusuka au ya dukani?
 
mkuu tafuta ya kusuka tu yale ma ups ya Apc ukipata la 2500w linapiga mzigo fresh sana tu, kwa mtazamo wangu ya kusuka poa sana mie niliwahi kutumia ya 1500 kwa miaka 3 bila shida yeyote mpk nilipouza baada ya kupata umeme wa Tanesco na dogo niliyemuuzia bado anaitumia mpk kesho.
 
Nashukuru zana. Yako ya 1500w ulipata kwa bei gani?
 
Inverter za kusuka huwa hazina uhakika wa kile wanachokiandika unaweza kuta imeandikwa 2500watts lakini ukiipa mzigo wa watts 600 inashindwa kutokana na watengenezaji wengi wa kibongo kuwa wamekariri tuu unakuta katumia normal transistors hata kumi tuu so ni bora ununue ya dukani kwanza inakuwa na losses chache kuliko hizi za kutengeneza pia utapata pure sine wave output kuliko hizo za kutengenezwa na wabongo
 
Back
Top Bottom