Habar waba jamvi, nina sim yangu moja aina ya tecno M3, nikiiwasha haimalizi kuwaka inaishia tu kwenye neno tecno halafu inaganda apo apo, sasa kwa anaye elewa tatizo nn naomba anisaidie.
chief...
Nataka kuweka call barring for all incoming call na sms lkn nimeshindwa nimewacheki watoa huduma halotel wanazingua tu je code ni zipi kwa wenye maujuzi haya
jamani nmenunua sm kutoka tigo shop,sasa nataka iwe na uwezo wa kukubali line zote maana line moja inakubali tigo na line 2,inakubali line yoyote shida ni kwamba 3g,ipo line one tu ambayo ndo tigo...
Jumatano iliyopita nilisajili laini ya ttcl kwa wakala wa kwenye magari yao lakini laini ilikuwa inasoma emergency akaniambia badaeeee itasoma lakini taarifa zangu zinafanyiwa kazi lakini kimya...
Habari wakuu,
Nilikua naangalia live launch of One Plus 5 ambayo imefanyika mda mchache uliopita nchini China.
And kwa nilichokiona hii ndo inaweza kuwa simu bora kwangu kwa mwaka huu kutokana...
Jamani hii simu muda wote inaandika emergency calls only nimeona solution yake ni ngumu kuipata now natafuta saketi ya hii simu ni samsung ya korea ,naombeni mwenye saketi tuwasiliane popote alipo...
Hii ni simu ilikuwa ikiandika emergency cally only nilikuwa naflash then inarudi ktk khali yake lakini leo hii nimeiflash tatizo liko pale pale ,
Nimeweka firmware tofauti tofauti lkn ugonjwa ni...
Husika na kichwa cha habari hapo juu, nilikuwa na google adsence account youtube channel , baadaye nikapata wazo la ku upgrade wakaniambia lazima niwe na top domain nikanunua godaddy kisha...
Poleni na majukumu
Kwa wale wataalam wa app na programming nisaidie wapi pa kupata activation key za euro truck 2. na pia jinsi ya kupata na ku enable bluetooth kwa laptop yangu.
asanteni
Jipatie device za kucontrol attendance za wafanya kazi
150,000 kwa zile za USB disk tu
350,000 kwa zile za Internet na software
Ni pm kwa maelezo zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.