OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,915
Habari Wakuu,
Nina Tablet ya HUAWEI inatatizo la kutokujaa chaji,
Pindi niiwekapo chaji ikifika kwenye asilimia 52 kiasi cha chaji huwa hakiongezeki tena ,
Msaada wakuu
Jinsi ya kuirekebisha.