uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,223
- 799
Wakuu msaada wenu Juu ya app ya music powerap nimekuwa nikitumia lakini ina isha baada ya wiki 2 sasa nimeipenda sana lakini sijawahi kununua wala Sina acount ya PayPal zaidi ya Tigo airtel pesa
Shukrani mkuusio lazma paypal, kama ni playstore tumia tu kadi yako ya benki. kama huna kanunue ya bancabc wanauza kadi bila kufungua account.
kila mtu akichakachua hao madeveloper watatengeneza tena apps?Ya nini ununue kitu ambacho kinaweza kupatikana bure mtandaoni, Mkuu hio app imeshachakachuliwa na unaweza kuitumia bila hata kulipia...ingiea google search
Poweramp cracked apk
Bora kununua tukila mtu akichakachua hao madeveloper watatengeneza tena apps?
Yawezekna mtoa mada anajua njia moja tu ya kupata apps za kulipia....Assuming anataka apps za ku crack hio njia nliyompa ya cracked apps itamfaa.....kila mtu akichakachua hao madeveloper watatengeneza tena apps?
Tatizo utaratibu huo hauna afya kimaendeleo kwa mapana yake kama alivyosugest Chief Mkwawa!nunueni tu mbona tuela twenyewe tu dogo tu?Yawezekna mtoa mada anajua njia moja tu ya kupata apps za kulipia....Assuming anataka apps za ku crack hio njia nliyompa ya cracked apps itamfaa.....