Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu ninaomba kufahamishwa jinsi ya kutambua Samsung na iPhone ambazo ni fake maana kumekuwa na janga sana la simu fake mtaani hususani brand hizo mbili
0 Reactions
1 Replies
2K Views
droidvpn inakubali kuconnect na kuniambia successful lakn siwez kubrowse kakika internet. msaada kwa anayejua jins ya kutatua hili tatizo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,mimi ni mpenzi wa simu za nokia(smartphones). baada ya kutumia window phone kwa muda mrefu mwaka huu nimeamua kuachana na hii jela ya mateso(window...
2 Reactions
69 Replies
9K Views
Hv ushawahi kujiuliza kuwa una weza cheza fifa 17 pc game bila hata ya kuwa na hiyo fifa 17??? Hv mnajua kuwa akuna crack ya fifa 16, au 17??? Hv ushawahi jiuliza kuwa unaweza upgrade fifa yako...
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Haya sasa wakuu, trick hii hapa, I had to record my own phone kuonesha haya maujanja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salaam. Nawezaje kupata Domain name ya uhakika for free or kwa pesa kidogo sana na kwa haraka ili kutengeza website ya advertisement?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, TCRA naomba watueleze kwa nini mtambo wao umeshindwa kuzitambua simu feki tajwa hapo juu? simu hizi Sony Z4,Z5 ni feki zipo kwenye soko muda mrefu, wapigaji wanaendelea kuziuza kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
simu hizi pia zina specifications kubwa na gharama ya midrange
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari wanatekinolojia Naomba kufahamishwa namna ya kuondoa baadhi ya application ambazo zimekuja na simu (built in apps) mf facebook na zingine kwani naona zinachukua nafasi wakati sijawahi hata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari mwenye ujuzi wa kuremove icloud katika iphone tafadhali hasa hasa iphone 5s..
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari wana jf naomba msaada wa namna ya kudownlod na kuweka Windows mobile kwenye cm ya android
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Habari zenu wadau Tafadhali naomba mniambie, au muweke link hapa niweze download hiyo application iliyotajwa hapo kwa heading. Thanks
5 Reactions
77 Replies
23K Views
Wakuu msaada apo Ipi ipo juu Kati ya izo Sim mbili
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau naombeni kujulishwa namna ya kutengeneza link ya wasapu kwa anaejua tafadhali
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habri hii simu ikivunjika kioo(vyote viwili) na ikabadilishwa (sio vipya ). Sasa ikawa ina matatizo mawili moja ukipigiwa inajiweka katika loud speaker na anaekupigia hakusikii...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Iphone 4s kioo kimevunjika inawaka lakini screen ni black mwanga unaonekana. Wapi kuna mafundi wa kunibadilishia.?
0 Reactions
2 Replies
939 Views
wakuu heshima zenu muda mwingi sana watanzania wamekuwa wakiihitaji kuingia katika soko la kimtandao dunia nzima but tatizo limekua ni kwamba option iliyopo ya online money transfer ni crdit card...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
ni ipi kazi ya benzini au pertol kwenye sackit
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za mida hii Wakuu, Wajuzi na wataalamu ndani ya JF....!!? NAOMBENI MSAADA WENU JAMANI, Dogo katika kuchezea chezea Kompyuta (akijivinjari na Games) amejikuta AMELOKI KIBODI UPANDE MMOJA...
0 Reactions
6 Replies
804 Views
Nawasalimu Jf. Kuna tatizo naona laptop yangu inakuwa nzito sana kuliko kawaida. Namaanisha inafanya kazi kwa speed ndogo sana kuliko kawaida yake. Halafu nikiwa mtandaoni inasumbua pia. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
652 Views
Back
Top Bottom