Mwananchi hewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 226
- 275
Ni hivi nimefungua akaunti ya whatsapp ila imenitumia code nimeweka ila inaniambia kuna two step verification na step ya pili inadai PIN na inasema hiyo PIN imetumwa katika email ila nimeingia katika email sikuti mesej yoyote
Wajuzi na wajuvi nawahitaji msaada wenu
Wajuzi na wajuvi nawahitaji msaada wenu