Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wandugu naomba msaada, friji yangu haipoozi juu upande wa friji ila chini upande wa freezer inapooza vyema. Tatizo litakuwa nn?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari zenu wana Jf.Naombeni msaada memory card yangu inaandika maandishi hayo hapo juu.Nasita kuiformat naomba msaada kwa yeyote anayejua namna ya kuirudisha sawasawa.Asanteni
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenye utaalam as head juu talk. Anisaidie nimejalibu kupitia XDAforum lakin naona chenga tu so nisaidieni
0 Reactions
2 Replies
596 Views
Naomba kujua bei ya IC power ya Tecno Camon C5,Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wana jamii wenzangu naomba mwenye utaalamu wa kunisaidia kuwa na watsaap application za watsaap mbili ndani ya simu moja....napenda kuwatakia eid Mubarak
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nikitaka kuichaj inaonesha plug in not charging mwenye uwelewa anisaidie Wakuu
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Sim yangu ya samsung galaxy s5 inanipa ujumbe wa "unfortunately contacts has stopped" kila nik-click contacts. Nimejaribu kui-format & reboot lkn tatizo likiasha kwa masaa kadhaa tu na kisha...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Waungwana, habari za usiku huu. Imetokea wakati wa kufanya Installation ya Cumulative updates ya WINDOWS 10 ENTERPRISES. Naomba ushauri wenu katika kutambua tatizo laweza kuwa ni nini na tiba...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalamu PC yangu naona inasumbua niliwaachia watoto wakawa wanacheza gemu nadhani kuna baadhi ya files wamezidelete. Najaribu ku install windo mpya inagoma. See attached pic
0 Reactions
3 Replies
469 Views
Plz naomben msaada namna ya kurestore mafile yaliyo potea kwenye hii extenal harddisk
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman Habari Wadau! Msaada Hapa Nimei Flash Vodafone VDF 300 Ilikuwa Network Locked Ya Laini Za Voda Tu! Nimeflash Kwa SP Tools Firmware Nili Download Firmwarefile.com Tatizo Baada Ya Kumaliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu ninapenda kuuliza nini unaweza ukafanya kwa simu zinazotumia android mbali na huduma za mitandao ya kijamii? nauliza hivi kwa sababu unaweza ukakuta mtu ananunua simu kwa gharama kubwa then...
9 Reactions
146 Replies
22K Views
naombeni msaada wn maana ndoo nimenunua simu jan
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nili restore nimelog in kama kawaida nikienda sehemu ya free apps inagoma.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie je ninawezaje kupata live online streaming ya chanel hizi CLOUD TV na EATV
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Nina hosted google adsence account (youtube only) nmefungua mwezi February 2017 kwa sasa ina Dollar 40$ (estimated earing) lakini katika Payment Threshold inasoma Dollar 0.06$. Tatizo ni nini...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau nipo mbioni kununua simu mpya but napata wakati mgumu katika chaguo langu kati ya HTC M8 na LG G3 Ipi ni nzur!?ushaur wenu ni muhimu
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Habarini za mdahuu wanajukwaa,,, naombeni msaada wenu natafuta App ambayo inauwezo wa kuconvert mziki wa midi kwenda Wav Au mp3, kwa Android au hata kwa kutumia Pc. Naomba kuwasilisha ombi langu.
0 Reactions
6 Replies
969 Views
Ninafanya research kuangalia kama simu za X-Tigi zina market. Kuna mtu ambao ana hii simu? Experience yako vipi?
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Wana Umeme, Automatic Transfer Switch ATS ni ipi Ni kiwa na Maana ATS inaweza Kutransfer load from one source of power to another whether Utility au Backup power Nataka Kujua Je ATS inapofanya...
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Back
Top Bottom