sameerkhan
Member
- Nov 5, 2015
- 97
- 34
Nahitaji App kwenye smartphone au PC niwezeshe kufuta/kuondoa beat na ibaki sauti pekee.
Tumia FL STUDIO NA CUBASENAHITAJI KUPATA APP KWENYE SMARTPHONE AU PC ITAKAYO NIWEZESHA KUFUTA/KUONDOA BEAT NA IBAKI SAUTI PEKEE
Kwa FL Studio unaweza kufanya hivyo kwa kutumia Dashboard na Maximus. Ni jambo la dakika kadhaa tu.NAHITAJI KUPATA APP KWENYE SMARTPHONE AU PC ITAKAYO NIWEZESHA KUFUTA/KUONDOA BEAT NA IBAKI SAUTI PEKEE
Mkuu hivi inawezekana kweli ukaondoa beat ikabaki vocal na quality nzuri ikiwa wimbo ushakuwa exported yani uko katika mp3 au wav?Kwa FL Studio unaweza kufanya hivyo kwa kutumia Dashboard na Maximus. Ni jambo la dakika kadhaa tu.
Tupe mrejesho,Ahsanteni sana nafanyia kazi mliyonipatia
Absolutely, kinachofanyika hapo ni ni kuondoa/kupunguza Phases za Vocals (Phase Cancellation) kwenye muziki husika ili iwe Minus One Track (Track iliyoondolewa Vocals). Check hii video kwa maelekezo zaidi: https://www.youtube.com/ioFGjlQKb1AMkuu hivi inawezekana kweli ukaondoa beat ikabaki vocal na quality nzuri ikiwa wimbo ushakuwa exported yani uko katika mp3 au wav?