Bwana Eye naona haya mambo unayajua maaa nime-forward hiyo doc kwenda kwenye lap top imefungua. Inaonekana PDF ya kwenye desk top imeharibika. Again desk top hii nikiweka moderm zaidi ya moja kwenye port zake (nne) , ile ya internet inakata haisomi, pia ya printer haisomi ( therefore no printing). Nikiondoa ya printer, internet inasoma. Muda mwingine computer inakataa kuitambua cable ya printer, Tatizo ni nini pleasePole kwa hilo. Jaribu kutumia PDF reader nyingine kama vile Nitro PDF. Kama bado inakugomea, just mwambie aliekutumia atume tena fresh copy. It will save you a long time and hussle.