Lis
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 471
- 352
Wakuu habari za leo,
Naomba mnisaidie mwenye uelewa na simu aina ya infinix, nashindwa kuelewa nilikuwa nimezima naichaji nimeamua niwashe ikatokea maneno ya kichina hayaeleweki, Simu ikagoma kuzimika, na simu yenyewe betri yake haitoki labda mtu utaweza kutoa betri na kurudisha ili iwake tena.
Nimeangaika sana kubonyesha sehemu mbalimbali hatimae nikafanikiwa kuizima, but nimewasha tena umeonesha kusearch WiFi mpaka Muda huu, but nikipigiwa simu na pokea, nashindwa kuelewa, tatizo nini?
Please mwenye uelewa na aina hiyo ya simu anisaidie, pia ni product ya kampuni gani ya simu?