Jinsi ya kutumia Whatsapp bila bluestack

Jinsi ya kutumia Whatsapp bila bluestack

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Sasa unaweza tumia whatsapp kwa PC lakini kutumia bluestacks na yuahave sio offical ndo maana wengi ina wasumbua sasa fanya hivi

-nenda kwenye PC ako downloan google chrome den install .

-nenda kwa google chrome ifungue halafu andika web.whatsapp.com itafunguka ikifunguka pale utaona mkono wa kushoto kuna mchoro wa mstatili

-wenye rangi nyeusi na katikati kuna alama ya whatsap.

-kisha nenda kwa simu ako update whatsapp unayo tumia.

-ukimaliza ifungue hio whatsapp nenda kwa menu ya whatsapp utakutana na neno whatsapp web click hilo neno

-Itafunguka kama camera hivi sogez kwenye pc katika ule mchoro hapo uta scan QP code hakikisha net iko pouwa ikiscan tu itafungua whatsapp katika PC yako.

Kumbuka kuja na matokeo kama umefanikiwa.
 
Mheshimiwa asante sana,imekubali sawasawa na maelekezo hapo juu.
 
danya,

Blue stack na youwave bado zina umuhimu kwa pc maana zinawafaa wale wasio na smartphone. Hiyo whatsapp web mpaka uwe na smartphone alafu whatsapp iwe online ndiyo utaweza kutumia kwa pc so why bando linahusika kotekote.
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu ipo vizuri ila kasoro iliyopo ni kuruhusu kupigana chabo kiaina. Just imagine wife kaiscan whatsapp yangu kwenye laptop yake bila mimi kujua so atakuwa anachabo kila kinachoingia na ninachotuma kwenye whatsapp, kama nikielewana na mchepuko tukutane mahala mh.

Fumanizi hiloo.
 
[HASHTAG]#danya[/HASHTAG],
Utavunja ndoa za watu
 
Back
Top Bottom