Jinsi ya kutumia OTG cable

Jinsi ya kutumia OTG cable

alex255

Senior Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
119
Reaction score
48
Habar wana jf, naomba msaada jinsi ya ku activate OTG cable ktk android phone yangu
 
Habar wana jf, naomba msaada jinsi ya ku activate OTG cable ktk android phone yangu
Inategemea aina ya simu mkuu ila haina option zaidi ya kuview kwenye file manager yako
 
Mkuu simu yaki aina gani?? Coz inategemeana simu na simu sio simu zote zina support hiyo kitu
 
9b0e66e761584afa3c02262b7be7ac30.jpg
hicho kidogo cheusi ndicho otg inayomwezesha mtumiaji wa simu ya android kuchomeka flash,moderm etc katika simu yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom