Nimekusoma mkuuwhatsapp nyingi hazinaga hizi additional option cha kufanya ingia google search YO WHATSAPP.apk kisha zitafunguka links nyingi ingia link moja wapo download yowhatsapp apk file kisha install jumla utakuwa na whatsapp mbili kama unataka usipoteze hata data yako moja usiifungue kwanza hiyo yo whatsapp kwa kuwa itakuwa imeshajitengenezea mafolder yake yenyewe ingia kwenye file manager yako kisha fungua folder la yo whatsapp kisha futa mafolder yote yaliyopo ndani ya hilo folder kisha fungua folder la whatsapp la kawaida mark mafolder yote yaliyopo ndani kisha ya move kwenye yowhatsapp folder kisha ukishamaliza fungua yo whatsapp ingia na ile ile namba yako ya mwanzo uliyokuwa unaitumia itakuletea kurestore data restore kisha utaingia ndani ya yo whatsapp.
now there is when the fun beggins ss ndani ya hiyo yowhatsapp kuna opptions nyingi kuliko hata gbwhatsapp utajifunza kuzitumia tartiiibu tu ila unaweza set ukatuma video hata ya 4 gb ALAMSIK
poa poaNimekusoma mkuu
Mkuu vipi GB WHATSAPP INAKUBALI??whatsapp nyingi hazinaga hizi additional option cha kufanya ingia google search YO WHATSAPP.apk kisha zitafunguka links nyingi ingia link moja wapo download yowhatsapp apk file kisha install jumla utakuwa na whatsapp mbili kama unataka usipoteze hata data yako moja usiifungue kwanza hiyo yo whatsapp kwa kuwa itakuwa imeshajitengenezea mafolder yake yenyewe ingia kwenye file manager yako kisha fungua folder la yo whatsapp kisha futa mafolder yote yaliyopo ndani ya hilo folder kisha fungua folder la whatsapp la kawaida mark mafolder yote yaliyopo ndani kisha ya move kwenye yowhatsapp folder kisha ukishamaliza fungua yo whatsapp ingia na ile ile namba yako ya mwanzo uliyokuwa unaitumia itakuletea kurestore data restore kisha utaingia ndani ya yo whatsapp.
now there is when the fun beggins ss ndani ya hiyo yowhatsapp kuna opptions nyingi kuliko hata gbwhatsapp utajifunza kuzitumia tartiiibu tu ila unaweza set ukatuma video hata ya 4 gb ALAMSIK