Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Tunafahamu kuwa Dubai ni moja ya nchi tajiri sana duniani, ambayo imepiga hatua kubwa sana kwa upande wa uchumi na teknolojia ya hali ya juu. Ni moja kati ya nchi inayokuwa kwa kasi sana...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ningependa kufahamu kwa undani zaidi juu ya AI asanten...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu. Naomba mnisaidie maana simu yangu ina tatizo la kutoonesha applications kwenye home screen hali inayonilazimu kuzunguka sana settings ili kulaunch app ninayo hitaji hivyo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaam wanataalum humu Kama mada inavyojieleza naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo la hii Simu yangu Natumia Viwa A4 hivi majuzi limeanza tatizo kwanza betri ikiisha kabisa haliwezi kuchajika kwa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu nifundisheni jaman apo jinsi ya kuweka password ya finger print tecno W5LTE
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jinsi ya kuweka subtitle kwenye movie,kuna movie nilikuwa na watch through desktop nika copy iliniangalie kwenye laptop. Sasa huku subtitle hazitokei and movie sio ya kingereza but subtitle ndo za...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeokota cmu tecno w2 na inapatern nawezaje kuirestart???
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari! Kuna group ambalo nahitaji kuwa totaly pasive, ikibidi nisilione kabisa lakini nisijitoe. Ikiwezekana meseji zake nisiwe nazisikia na wala lisiwe linakuja huku juu meseji mpya zikiingia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa kupiga screen short kwenye laptop ain y dell na inatumia window 8. Naomba msaada wakuu. Nawasilisha
0 Reactions
23 Replies
7K Views
  • Closed
Post in thread 'Fahamu haya kuhusu Dubai kwa upande wa Teknolojia' by nelly poul has been reported by Tanzania Tech. Reason given: Makala kwenye uzi huu imechukuliwa kwenye tovuti ya Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Wajuvi wa mambo naombeni msaada jinsi gani nitaweza kuji ublock whatsapp kuna mtu ameni block alafu yupo mbali siwezi kushika simu yake
0 Reactions
37 Replies
14K Views
Nina basic ya network kwa kiasi chake na network installation si tatizo kwangu, tatizo Uja hapo kwenye configuration so please kama kuna mtu ana mahali nitakapo weza hayo mafunzo haswa ya ki...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nimebahatika kuokota smartphone Wakuu ninashida nayo wana toaje password?
2 Reactions
108 Replies
8K Views
Nimejaribu kudownload ila halifunguki. Msaada wakuu! Cc: Chief-Mkwawa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau nina samsung yangu ambayo imekuja na kimtandao cha huko mbele kinaitwa Metropcs sasa hii simu inaspot data ya wcdma/LTE but inafanya kazi kwenye gsm tu..na nikiswitch data to lte or wcdma...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu nina simu ya CAT B15 imecrush haifungui app yeyote au operation yeyote ile any thing you open ina kuja pop up "unfortunately .....has stopped " hapo kwenye ...... itataja app au syste...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Simu ya Samsung j2 inauzwa bei ni 300,000Tshs kwa aliye serious karibu tubonge . Nb napatikana Mwanza mjini.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu kama kuna mwenye anauza CPU nahitaji kwa bajeti ya 150K no za simu 0652971495 nipo Moshi
0 Reactions
2 Replies
673 Views
Amani kweni wanajamii forums.Naomba nisaidie please.Kila nikitaka kudownload game katika laptop inaniandikia (The program can't start because MSVCP100.DLL is missing from your computer.Try...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
waungwana, naomba msaada nifanye nini ili laptop yangu uwake. Jana nilikuwa nafanya kazi muhimu sna, wakati nataka kuiattach Kwenye email battery ilikuwa very low. Kwahiyo kitendo cha kuchukua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom