Ninaomba maarifa namna ya kupiga window kwa kutumia flash disk maana mlango wa DVD hamsomi ,kwa wenye utaalam kwa kutumia flash disk naomba pamoja na driver zake ili nifanikiwe wakuu .
Ninaomba maarifa namna ya kupiga window kwa kutumia flash disk maana mlango wa DVD hamsomi ,kwa wenye utaalam kwa kutumia flash disk naomba pamoja na driver zake ili nifanikiwe wakuu .
Tafuta windows yako iwe katka mfumo wa disk image zen tafuta bootable programs kama rufus,iso to usb,ultra iso etc tumia hzo kuboot hyo windos kwnda kune flash make sure flash yako n 8gb kwa urahis wa kaz hyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.