Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ni hivi nimefungua akaunti ya whatsapp ila imenitumia code nimeweka ila inaniambia kuna two step verification na step ya pili inadai PIN na inasema hiyo PIN imetumwa katika email ila nimeingia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jaman naomben mnisaidie jinsi ya kurudisha picha nilizopoteza kwenye sim(phone storage)
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafta wakuni sapoti coz m n mwanafunz wa kidato cha sita and i hav video directing and edditing skills natafta wakuni suport au management
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo ni siku ambayo azamtv wamezindua app yao ambayo pamoja na taarifa mbalimbali pia utapata fursa yakuona tvonline 7 zikiwemo azam one,azam two,azam hd,zbc2,sinema zetu na nyengine kwangu mie...
1 Reactions
40 Replies
11K Views
Wakuu habari za mapumziko ya Eid. Simu yangu S 5 inajizima na kujiwasha mara kwa mara hasa pale ninapoiwasha kwa mara ya mwanzo asubuhi kwanza zile apps ambazo ziko kwenye sd card zina grey out...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau, Kama tunavyojua kwa sasa Digital marketing iko juuu linapokuja swala la kutangaza biashara kwani kwa sasa watumiaji wa internet ni wengi kuliko wanaosikiliza Radio+Tv. Kuna watu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Sasa unaweza tumia whatsapp kwa PC lakini kutumia bluestacks na yuahave sio offical ndo maana wengi ina wasumbua sasa fanya hivi -nenda kwenye PC ako downloan google chrome den install . -nenda...
3 Reactions
11 Replies
6K Views
Kuelekea msimu huu wa biashara Bei ya azamtv Tsh140,000/= pia utapata na kifurushi cha 28,000 kwa miezi miwili bureee Dstv 69,000 utapata na kifushi cha 20,000 mwezi mmoja buree pamoja na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana jamvi. Naomba mwenye taaluma ya jinsi yakutengeneza logo ya kijikampuni changu hapa uwezo wa kununua sina na taaluma ya it sina kabisa naombeni msaada.
0 Reactions
16 Replies
16K Views
Wakuu habari, Nimejaribu kupita pita huku na huko nikakuta blogs na website kibao ikiwemo humu jamii forum juu ya adsens kuonekana katika content zenye maudhui ya lugha ya kiwahili,mwenye kujua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa heshima na unyenyekevu mwingi tunapenda kuwataarifu watu wote kuwa tumefungua forum mpya inayohusu maisha halisi ya kitanzania ijulikanayo kama uswahilini.forumotion.com ambayo utaweza kuweka...
0 Reactions
2 Replies
666 Views
Kwa wataalamu naomba kujua sheria na taratibu za kufungua web site, jinsi ya kufungua na namna ya kuweka matangazo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Madau asalama leikumh Wakuu mwenye kufaham jinsi ya kufanya setting Internet ya simu kwa kutumia laini ya Halotel naomba kusaidiwa...natumia simu ya samsung dual. natanguliza shukulani
1 Reactions
18 Replies
21K Views
Naomba mwenye kujua namna ya kuomba kufanyiwa official search wizara ya ardhi anisaidie please.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu kama Uzi apo nimehisi kua USB nimebadilishiwa na niliemwazima Maana nimechajia juzi adi asubui nimekuta asilimia 1 nikaamua kuazima charge ya jirani. Nihisi kichwa kibovu. Jioni nimetest...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Nna S4 imekufa mashine na fundi kanambia haiwez pona ila screen na vitu vingne vyote vizima, so km kuna mtu ana s4 ilokufa kioo aniuzie mashine au km kuna mtu anataka kioo cha s4 nimuuzie mm
1 Reactions
1 Replies
615 Views
Leo nimeingia ebay kununua motherboard ya laptop Toshiba Satellite pro A120, nikaipata inauzwa dolla 36.38 kupitia hii link baada ya kufuatilia maelezo ya muuzaji nikaona hatumi kwenye PO BOX...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Siku hizi wizi wa vifaa vya kuhifadhia kumbumbu muhimu huwa vinaibiwa sana haswa komputa , komputa nyingi tumeshuhudiwa zikiibiwa na wengine wakitangaza katika mtandao kuhusu hizo computer zao au...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mada yajieleza nahitaji kupima kipande cha ardhi ili nijue kina umbali gani, kinatakiwa kilimwe barabara ya mtaa ili kandarasi asiibe hera nitjuaje umbali wake? Kumbuka hapapitiki kwamba naweza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba msaada jinsi ya kupata network ya H+ kwenye Tecno j5 3g iko very slow
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom