Habari zenu wakuu ? Natumai mko salama nimerudia kwa mara nyingine

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,625
2,443
Simu yangu Tecno W4 nimetumia miracle crack wakati nina Read ili nicopy Stock rom kwa ajili ya simu iliyokuwa imebrick ila ukiconnect ilikuwa inasoma USB DRIVERS nilichofanya ni kitu kimoja maana nina Tecno 2 ikabidi niweke room kwa kucopy by reads with miracles lakini chakushangaza imefika 3% ikaandika errors then ikastop nikasubiri kwa muda wa dakika kama kumi na tano nikaona simu bado ipo kimya nikastop miracle then nikachomoa simu 'nimejaribu kuwaka nikaona haiwaki na connect simu kwa PC inaniandikia UNKNOWN USB DRIVERS 'duuh nimejaribu kubadilisha usb cable kama tatu lakini inaandika vile vile,

ILA KWA BAHATI NYINGINE SIMU ILE AMBAYO ILIKUWA HAIWAKI YA MARA YA KWANZA NIMEDOWNLOAD STOCK ROM YAKE SIMU IMEKUBALI MPK IMEWAKA ,ILA HII NYINGINE NDO IMEKUFA ILA UKICONNECT INALIA THEN INAKATA NA KULETA MAELEZO "USB RECOGNIZED "NA MAELEZO MENGI MENGI ,SASA WAKUU KWA MWENYE MSAADA ANISAIDIE NIFANYEJE ILI USB ISOME. [NAWAOMBA]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama haisomi usb driver hapo tayari umeula wa chuya. Au weka system charge nyingine huenda imeachia kwa ndani
 
Leo J2 huwezi pata msaada wa maana.Kama ni Christian nenda kafanye ibada kanisani ukimaliza tembelea wagonjwa ndugu jamaa na marafiki.Kesho Mon utamalizana na hiyo Tecno InshaAllah.
 
Chemsha maji ya mpapai kisha itumbukize

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Chemsha maji ya mpapai kisha itumbukize

Post sent using JamiiForums mobile app
Hahahaaa watu wengine ni vilaza kweli kweli kuuliza swali ndo kupewa jibu la kitaahira kama hili ama kweli msaafara wa mamba ,kenge hawakosi

Post sent using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom