Msaada kurudisha movement ya cursor (haifanyi movement)kwenye laptop

Msaada kurudisha movement ya cursor (haifanyi movement)kwenye laptop

logframe

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
4,242
Reaction score
5,555
Tafadhali mwenye kunisaidia, nimeiwasha laptop nikaweka flash disc nifungue folder ikaanza kama kufikiria, nimeisubiri lakini nilipotaka Ku move cursor ni click naona haitembei, wataalamu wa hivi naomba ushauri kwa kuwa nimetoa flash disk na Ku power off, nimefungua lakini naona bado hai move.(sorry for code mixing/switching )...msaada maana shughuli imekwama hapa, Ahsanteni!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Humu wataalam ndo wapo weekend au?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hapo cha kufanya ni kufanya window repear kwa kutumia CD ama bootable flash yeny window hohyo
 
Habarini wakuu. Nina jamaa yangu anatumia HP ila kuna wakati cursor haisogei kabisaa mpaka achomeke mouse ndio inakubali.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Habarini wakuu. Nina jamaa yangu anatumia HP ila kuna wakati cursor haisogei kabisaa mpaka achomeke mouse ndio inakubali.

Post sent using JamiiForums mobile app
Install touchpad mouth driver..
If u have driverpack soln inadrivers hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom