Furahi tu simu yako kufahamika na muda si mrefu wewe utajulikana...technology bwana!!!!

Mimi pia nilikuwa natumia application moja hivi, baadaye nikagundua ina display aina ya simu ninayoitumia nikaifuta haraka sana kwa sasa natumia Google ndiyo nasearch JF then ndiyo natoa maoni yangu
Mnapoteza muda. Mnajifanya wajanja kumbe ushamba tu. Popote utumiapo internet, IP address yako inaweza kuwa retrieved kirahisi. Tena IP address ni mbya zaidi coz inaweza onesha sehem ulipo exactly.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Mimi pia nilikuwa natumia application moja hivi, baadaye nikagundua ina display aina ya simu ninayoitumia nikaifuta haraka sana kwa sasa natumia Google ndiyo nasearch JF then ndiyo natoa maoni yangu
Duh, hiyo nimeipenda. Kwahiyo ile app ya jf umeofuta kwenye simu au?

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hii ni signatute tuu, ukiamua unaitoa, au unaeza kuedit signature

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom