Kwa wanaoitaji kiflash simu

Kwa wanaoitaji kiflash simu

kingkimbe

Senior Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
110
Reaction score
53
Leo nina habari nzuri kwa watu wote wanaoitaji kuroot, Ku unlock, na kuflash simu zao inbox me kwa ajiri ya software na maelezo zaidi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ni bure au unatoza kiasi kadhaa?? na ni sh ngap au inategemea na aina ya simu?
 
Leo nina habari nzuri kwa watu wote wanaoitaji kuroot, Ku unlock, na kuflash simu zao inbox me kwa ajiri ya software na maelezo zaidi

Post sent using JamiiForums mobile app
Sasa utajibu pm ngap? Si uweke hapa mezan kila kitu
 
Nina iphone 6 , ukiiflash nakupa laki mbili.
Nije inbox????
 
IPhone 4 inaandika network searching unaweza kwa sh ngapi?

Sent from my TV
 
pm sio tatizo zitajibiwa kwa anae hitaji atanitafuta
Kwanza hakuna tools za kuflashia sim ambazo hazijawah kua discussed humu ndan..hata unlocking tools pia

Sasa sion haja ya kuficha mambo mkuu uko pm
 
Kwanza hakuna tools za kuflashia sim ambazo hazijawah kua discussed humu ndan..hata unlocking tools pia

Sasa sion haja ya kuficha mambo mkuu uko pm
mimi hlo jambo si kazi yangu na tool ukiweka mezani kila m2 akaona utawauwa watu wengine wenye kutegemea hzo kazi tool anatakiwa kuwa nazo m2 anaetaka kuwa fundi au ni fundi hvyo 2
 
Mkuu huogopi miaka 30 ya TCRA? Maana kosa la kuflash sim ni miaka 30.

Chukua tahadhari mzee.
 
Back
Top Bottom