misha nyangassa
Member
- Mar 29, 2015
- 95
- 41
Wakuu habari za mida hii.
Ninashida ya smart watch yangu ambayo nimeinunua China through Aliexpress, tatizo ni kwamba kila sim card ninayoweka napata ujumbe pale juu unaosema "invalid sim"
SHIDA HAPO NI NINI?
Natanguliza heshima kwenu.
Sent from my HTC Desire 816 dual sim using JamiiForums mobile app