Msaada kuhusu sony xperia z2a ama d6563

Msaada kuhusu sony xperia z2a ama d6563

bilengeh

Senior Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
135
Reaction score
86
Wanandugu nilikuwa naomba msaada nimekuwa na simu hii kwa muda wa mwaka sasa tatizo simu ilivunjika touch yake ikawa haifanyi kazi nimejitahidi kutafuta touch yake hapa kariakoo imeshindikana kila duka linakuwa halina na nimejitahidi kuwaagiza wenye duka lakini nikaishia kutapeliwa

Kwa sasa imepita muda wa mwaka na nusu ipo tuu nataka data zangu zilizomo humo kuna call recordings zangu muhimu na licha zangu

Nimejitahidi kuconnect na computer haisomi chochote nikaambiwa usb debuging sijui iko on sasa kwa mwenye utaalam wa jinsi gani nitafanya nipate hizo data zangu
Tafadhali bandugu tusaidizane
 
Agiza display online
 
Mbona display screen zipo kila mahali...Mimi Z2 yangu ilipasuka nikiwa Arusha..chap nikapata mpya kwa 120,000 ...nilikuwa sijahamisha data zangu za muhimi .nikahamisha fasta kwenye drpo box na Gmail acc yangu
 
Mkuu z2a na z2 ni aina mbili tofauti

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu. Hata mimi Nina Sony Expedia. Hizi simu huwa hazihitaji vitu fake. Mimi simu yangu ilikuwa na tatizo kama lako ila kwa sasa imetengemaa. Nimetengeneza kwa 120000. Ni hapo hapo kariakoo. Fundi alijifanya mjanja kwa kuniwekea kitu fake lakini automatically simu huwa ina reject kama ni fake na hivo ilimbidi aagize kutoka south Africa. Kama unahitaji msaada nitakuunganisha na Fundi mmoa yupo kariakoo.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri wa huyo Fundi ni ostadhi mcha Mungu haswa. Akikuwekea hiyo touch then isisome basi anakurudishia pesa yako yote na anakupa risiti kiasi kwamba kama ikitokea case mufikishane palipo mkono wa sheria. Njoo PM nikusaidie. Hutajutia tena.

Mkuu nisaidie nimpate
Toleo gani la xperia ulibadilisha?

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Wanandugu nilikuwa naomba msaada nimekuwa na simu hii kwa muda wa mwaka sasa tatizo simu ilivunjika touch yake ikawa haifanyi kazi nimejitahidi kutafuta touch yake hapa kariakoo imeshindikana kila duka linakuwa halina na nimejitahidi kuwaagiza wenye duka lakini nikaishia kutapeliwa
Kwa sasa imepita muda wa mwaka na nusu ipo tuu nataka data zangu zilizomo humo kuna call recordings zangu muhimu na licha zangu
Nimejitahidi kuconnect na computer haisomi chochote nikaambiwa usb debuging sijui iko on sasa kwa mwenye utaalam wa jinsi gani nitafanya nipate hizo data zangu
Tafadhali bandugu tusaidizane
Mbona signature yako hapa jf inaonesha unatumia d6503 na sio uliondika wewe.
 
Wanandugu nilikuwa naomba msaada nimekuwa na simu hii kwa muda wa mwaka sasa tatizo simu ilivunjika touch yake ikawa haifanyi kazi nimejitahidi kutafuta touch yake hapa kariakoo imeshindikana kila duka linakuwa halina na nimejitahidi kuwaagiza wenye duka lakini nikaishia kutapeliwa

Kwa sasa imepita muda wa mwaka na nusu ipo tuu nataka data zangu zilizomo humo kuna call recordings zangu muhimu na licha zangu

Nimejitahidi kuconnect na computer haisomi chochote nikaambiwa usb debuging sijui iko on sasa kwa mwenye utaalam wa jinsi gani nitafanya nipate hizo data zangu
Tafadhali bandugu tusaidizane
Njoo inbox

Sent from my D5803 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom