Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mwenye ujuzi wa kuiondoa android os na kuweka windows os Ashushe maujanja
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada jinsi ya ku move apps ziende kwenye storage ya Sd card badala internal memory
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Zikiwa zimebakia siku chache kuondoa simu feki Tanzania; huku zoezi hili likitazamiwa kuathiri mamilioni ya watumiaji wa simu za mikononi nchini kote, kampuni nguli ya utengenezaji wa simu za...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu nataka niroot hii simu ya kampuni ya vodacom ambayo naitumia kwa ajili ya kukamilisha usajili Wa line zao, maana android zote zinazopita mikononi mwangu lazima nipige root ndo nitumie. Vipi...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
msaada:simu yangu inqkataa kuinstall whatsapp natumia tecno h5
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimemaliza bachelor ya HR hapa Mzumbe lakini naona kama si kitu, napenda nataka kuchukua degree nyingine ila iwe challenging hasa katika maswaala ya computer techonology. Kifupi...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Hi wadau.. Natafuta simu hizo nilizozitaja mwenye kuwa nazo naomba anipm
0 Reactions
2 Replies
683 Views
Habari Jf member, Napenda kuuliza ni wapi ntapata simu aina za blackberry bold 9930 au 9900 kwasasa nipo Tanga. Naomba mnijuze bei ya kuanzia au mahala zinapopatikana kwani naweza sogea Arusha au...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba link ambayo naweza download apk ya kuroot simu yangu. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
583 Views
Habari zenyu wadau!! Naombeni mwenye ufahamu kuhusu ubora na ufanisi wa huduma za selcom anijuze.. Naskia ukiwa na machine ya hawa selcom,kama max malipo,unarusha vocha mitandao yote,unauza...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Wakuu habari Ku declare interest Mimi ni mshamba wa iphones ni android user je iphones zina glass screen protectors coz watu wengi wa iPhone unakuta simu ina crack so tusaidiane pia costs zake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Russia jails hacker for spilling top government officials' secrets MOSCOW — After a two-day trial conducted behind closed doors, the Moscow City Court on Thursday sentenced Vladimir Anikeyev...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu pole na majukumu Mimi ni blogger, mara nyingi wengi wetu tunatumia sana mitandao ya kijamii ikiwa kama ni njia ya kutambulisha/kusambaza habari zetu tunazokuwa tunapost lakini wakati...
0 Reactions
18 Replies
15K Views
Msaada Ku update fb group photo na kuondoa seen by kwa post.
0 Reactions
2 Replies
567 Views
Kwa anaejua VIPI nitatumia fb,WhatsApp na nyenginezo kupitia PC yangu. Msaada
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Natumia simu aina ya Lenovo Lenovo A6000 Version 4.4.4 Baada ya kudownload movie au vitu vyengine wakati wa kutaka kuvihamishia katika PC kwa kutumia simu tajwa halo juu zoezi linakua gumu na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za wakati jamaa na marafiki.. Mimi nilikuwa naomba ufafanuzi juu ya swala la Android ,Window phone , IOS na mengineyo kiukweli hayo maswala Mimi binafsi huwaga siwezi kutofautisha..
0 Reactions
2 Replies
551 Views
Nawezaje kuzuia pop ups ads kwenye sim yangu.? Yaani unakuta nikitoa password litangazo linatokea kinawakati napiga sim tangazo linatokea nakereka mno. Aina ya sim Ni galaxy A5
0 Reactions
2 Replies
628 Views
Wakuu habari ya kazi, naamini mko kwenye majukumu yenu ya kila siku ili mkono uemde kinywani. Ninatumia king'amuzi cha DSTV. Tatizo nililonalo ni setting yake kupoteza connection kila mara au...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Back
Top Bottom