Ni app gani inatengeneza picha za aina hii?

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
368
155
Mambo viiipiii kuna picha fulani ambazo nimekuwa nikizipenda natamani kuijua hiyo app inayotoa picha za dizaini hiyo ...

Picha zenyewe nizile za kunga'aa sana lakini image zilizo nyuma hufubaa yaani huwa hazionekani vizuri ... Hope mshaziona sana hizo pics sasa nisaidie ni app ipi kwenye android inaweza hayo maujanja???
 
inaitwa bokeh effect

simu za pureview za Nokia zina bokeh effect by default kupitia refocus.

pia simu za android zenye camera mbili zina bokeh effect pia,

kama huna vyote hapo juu unaweza tumia apps, zipo nyingi kwenye appstore na playstore just search hilo neno bokeh utazipata.

zipo apps ambazo ni camera apps yaani unaeka hio effect wakati wa kupiga, na zipo ambazo sio camera app unaeka hio effect kwa picha ambazo umeshapiga.
 
Focus model. Kuna baadhi ya simu zinazo. Ila CM za bei ghali na picha kungaa Sana. Huwa wanafanya editing.
 
lowasa..jpg
 
Mimi nahitaji kujua ile app unatokea video na mdomo mkubwaa macho kama katuni
 
inaitwa bokeh effect

simu za pureview za Nokia zina bokeh effect by default kupitia refocus.

pia simu za android zenye camera mbili zina bokeh effect pia,

kama huna vyote hapo juu unaweza tumia apps, zipo nyingi kwenye appstore na playstore just search hilo neno bokeh utazipata.

zipo apps ambazo ni camera apps yaani unaeka hio effect wakati wa kupiga, na zipo ambazo sio camera app unaeka hio effect kwa picha ambazo umeshapiga.

Nadhani unaongelea kitu tofauti mkuu. Nimejaribu ku search hilo meno BOKEH (limekuwa ni jipya kwangu) kuona apps unazoziongelea ila naona ni zile za lights effects na mleta mada anahitaji App ya kumsaidia kuweka 'BLUR' effect kama ambavyo most of DSLR's camera. Ni vyena akasearch BLUR au PORTRAIT na sio BOKEH.

348fb0203359b95a6fcd89460f8384cc.jpg

7c6e3deed600157415a819776ccd22e8.jpg

2b12fb915af722b5d16f8fb6e99244f3.jpg
 
hao developer tu labda wanatafuta clickbait ila bokeh ndio jina lake halisi la kitaalamu

Bokeh - Wikipedia
 
inaitwa bokeh effect

simu za pureview za Nokia zina bokeh effect by default kupitia refocus.

pia simu za android zenye camera mbili zina bokeh effect pia,

kama huna vyote hapo juu unaweza tumia apps, zipo nyingi kwenye appstore na playstore just search hilo neno bokeh utazipata.

zipo apps ambazo ni camera apps yaani unaeka hio effect wakati wa kupiga, na zipo ambazo sio camera app unaeka hio effect kwa picha ambazo umeshapiga.
Camera mbili ki vipi au kama ilivyo htc m8
 
N
simu za lumia zinafanya mkuu na android zenye camera mbili. lumia 925 ilikuwa ndio simu ya kwanza kufanya hivyo.

lumia-950-950-xl-test-photo-2.jpg

imepigwa na lumia 950
Ahsanteh mkuu na hii pic inang'aa kipi hufanya hivi mkuu camera husika au kuna effect pale unapopiga unaitmia na htc m8 licha ya kupiga bokeh effect nayo inaweza kung'arisha picha hivo? Ahsanteh
 
Back
Top Bottom